Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
hakuna haja ya kuweweseka kwa kitu ambacho kipo wazi kabisa gentleman 🐒Wathubutu waone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna haja ya kuweweseka kwa kitu ambacho kipo wazi kabisa gentleman 🐒Wathubutu waone
Yamkini shida ya Mbowe sio kuaminiwa na Wananchi bali "mabilioni'. Moyo wa mtu kichaka!Bora wawe wavumilivu, muda huu wakimgusa Lissu watakosa uhalali wa kuaminiwa na jamii ya Watanganyika tulio na Imani juu ya Lissu.
Subutukwa mujibu wa kanuni, sheria na katiba ya chadema, kibaraka wa mabenyenye ya Magharibi ataenguliwa hatua za mwanzo kabisaa uchaguzi wa chadema taifa 🐒
Gentleman,Subutu
Hujui Dunia, chadema sio ccm , wakumkata lissu atakufa asema Bwana, alishindwa kukatwa na tume kipindi cha mwendazake iwe leo , ardhi ikikubali hakuna binadam yoyote awaye wa kupindua, chukua hii,Gentleman,
chukua hiyo point itakusaidia sana na kukuondolea mstuko wakati muafaka 🐒
Usicheche na UmmaPamoja na backup ya state bado hana amani?
Hizi sarakasi anazofanya ndio anazidi kujipotezea kura, atashindwa kwa kishindo hadi wakose maarifa ya kufanya.
imani za kishirikina na ramli ni utumwa mbaya sana gentleman 🤣Hujui Dunia, chadema sio ccm , wakumkata lissu atakufa asema Bwana, alishindwa kukatwa na tume kipindi cha mwendazake iwe leo , ardhi ikikubali hakuna binadam yoyote awaye wa kupindua, chukua hii,
Mbowe aliwaambia muingie bara baran mkajificha ndani akatoka na mwanaeLissu akituamrisha tuingie Msituni tunaingia.
Hizo TV stations, mabalozi na viongozi wa dini watashuhudia nini siku ya tukioTaarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.
John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Hii ndiyo maana halisi ya counter attackKilisikaka kilio kutoka kwa Ayatollah "Tundu Lissu kuomba nafasi hii ilikuwa ghafla sana" 🤣🤣