Jamani muwe watulivu serikali yenu sikivu kwanza inafanya uchunguzi kujua kama ni kweli imefungwa?
Pili itakaa kikao na kujua kama mbunge anaweza kuhama chama chake na kuunga mkono juhudi imeshindikana nini kwa lethoto kuielewa hii falsafa?
Jaji lubuva yupo.
Polepole yupo.
Mnyeti yupo.
Ally Hapy yupo.
Tunaomba muiamini serikali baada ya muda mfupi mambo yatakuwa swafi.
View attachment 938856