TAARIFA ZA TAIFA STARS KUFUNGWA TUNAOMBWA KUZIACHIA MAMLAKA ZINALIFANYIA UCHUNGUZI MA KUJA NA MSIMAMO WAKE.

TAARIFA ZA TAIFA STARS KUFUNGWA TUNAOMBWA KUZIACHIA MAMLAKA ZINALIFANYIA UCHUNGUZI MA KUJA NA MSIMAMO WAKE.

KOGELO

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
204
Reaction score
360
Jamani muwe watulivu serikali yenu sikivu kwanza inafanya uchunguzi kujua kama ni kweli imefungwa?
Pili itakaa kikao na kujua kama mbunge anaweza kuhama chama chake na kuunga mkono juhudi imeshindikana nini kwa lethoto kuielewa hii falsafa?
Jaji lubuva yupo.
Polepole yupo.
Mnyeti yupo.
Ally Hapy yupo.
Tunaomba muiamini serikali baada ya muda mfupi mambo yatakuwa swafi.
20181015_202058.jpeg
 
[emoji39][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji2962][emoji2962][emoji2962][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Jamani muwe watulivu serikali yenu sikivu kwanza inafanya uchunguzi kujua kama ni kweli imefungwa?
Pili itakaa kikao na kujua kama mbunge anaweza kuhama chama chake na kuunga mkono juhudi imeshindikana nini kwa lethoto kuielewa hii falsafa?
Jaji lubuva yupo.
Polepole yupo.
Mnyeti yupo.
Ally Hapy yupo.
Tunaomba muiamini serikali baada ya muda mfupi mambo yatakuwa swafi.View attachment 938856
Umeanza kuwaaa mamaaqapiapshooo loh
 
Back
Top Bottom