Taarifa za ukweli za Simba zinapatikana kwenye APP yake tu,waandishi wa habari waongo tu

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Hadi Simba inamtangaza kocha wake Leo hii, hakuna hata mwandishi mmoja wa habari aliyepatia, hii inaonyesha Simba wanaficha taarifa zao, lakini pili waaandishi wetu hawana uwezo wa kuandika tetesi, wanabahatisha tu, hata wachezaji waliosajiliwa Simba hakuna hata mmoja waliyempatia, uongo mtupu, sitokuja tena waku follow kuanzia leo.
 
Unachotakiwa kujua neno tetesi ni kama kubeti tu.
 
Hadi Simba inamtangaza kocha wake Leo hii, hakuna hata mwandishi mmoja wa habari aliyepatia, hii inaonyesha Simba wanaficha taarifa zao...
Kwani licha ya huo usiri wenu mwaka huu mmeambulia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…