Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Hadi Simba inamtangaza kocha wake Leo hii, hakuna hata mwandishi mmoja wa habari aliyepatia, hii inaonyesha Simba wanaficha taarifa zao, lakini pili waaandishi wetu hawana uwezo wa kuandika tetesi, wanabahatisha tu, hata wachezaji waliosajiliwa Simba hakuna hata mmoja waliyempatia, uongo mtupu, sitokuja tena waku follow kuanzia leo.