Taarifa za usajili wa dirisha dogo kwa timu za ligi kuu ya NBC

Kwani kuna nini kimetokea,iyo ni picha ya tikiti maji imechongwa kinyago cha mtu,tena sio Tanzania ni tikiti limechongwa uko nchi za Asia na ipo google.

Ni kama tu sanamu ya askari moment pale posta.ile ni dhambi?

Kule kwenye jukwaa la siasa mbona mnachora picha za viongozi wa siasa msiowapenda lakini amuoni kama ni dhambi?

ibakishe akili na mawazo yako kwa mujibu ya nilichokwambia asihamishe mawazo pengine.
Wengine tunakuheshimu kama senior member ndani ya JF lakini kutufanya Mbumbumbu tusioweza kupambanua mambo unatukosea sana.
 
Kwani kuna nini kimetokea,iyo ni picha ya tikiti maji imechongwa kinyago cha mtu,tena sio Tanzania ni tikiti limechongwa uko nchi za Asia na ipo google.

Ni kama tu sanamu ya askari moment pale posta.ile ni dhambi?

Kule kwenye jukwaa la siasa mbona mnachora picha za viongozi wa siasa msiowapenda lakini amuoni kama ni dhambi?

ibakishe akili na mawazo yako kwa mujibu ya nilichokwambia asihamishe mawazo pengine.
Uungwana ni kitu simple saana sijui kwanini una pambana hata baada ya kuelimishwa
 
Back
Top Bottom