Wengine tunakuheshimu kama senior member ndani ya JF lakini kutufanya Mbumbumbu tusioweza kupambanua mambo unatukosea sana.Kwani kuna nini kimetokea,iyo ni picha ya tikiti maji imechongwa kinyago cha mtu,tena sio Tanzania ni tikiti limechongwa uko nchi za Asia na ipo google.
Ni kama tu sanamu ya askari moment pale posta.ile ni dhambi?
Kule kwenye jukwaa la siasa mbona mnachora picha za viongozi wa siasa msiowapenda lakini amuoni kama ni dhambi?
ibakishe akili na mawazo yako kwa mujibu ya nilichokwambia asihamishe mawazo pengine.
Chanzo cha taarifa;
Mimi ndo laana mwenyewe,kwasasa namtafuna Jobu na Slow Slow.Laana itakutafuna
Uungwana ni kitu simple saana sijui kwanini una pambana hata baada ya kuelimishwaKwani kuna nini kimetokea,iyo ni picha ya tikiti maji imechongwa kinyago cha mtu,tena sio Tanzania ni tikiti limechongwa uko nchi za Asia na ipo google.
Ni kama tu sanamu ya askari moment pale posta.ile ni dhambi?
Kule kwenye jukwaa la siasa mbona mnachora picha za viongozi wa siasa msiowapenda lakini amuoni kama ni dhambi?
ibakishe akili na mawazo yako kwa mujibu ya nilichokwambia asihamishe mawazo pengine.
Mimi sio muungwana ni mnyama.Uungwana ni kitu simple saana sijui kwanini una pambana hata baada ya kuelimishwa
Hii ya kawaida sana mzee,Hii kashfa dhidi ya uumbaji wa Mungu haikujengi zaidi ya kuonesha ulivyopungukiwa utu.
Mkuu haina shida, n muendelezo wa matani. Na si Mara ya kwanza picha hii kuwekwa humu jukwaani.Mimi sio muungwana ni mnyama.
Aendelee kujifunza akiwa benchChama Is Back
Kibu Tupishe