Taarifa za wachezaji waliopata majeraha kutoka klabu ya Young Africans Sports Club

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
•Ibrahim Abdullah (Bacca) amepata jeraha la nyonga na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha Wiki tatu

• Laurindo Dilson (Depu) amepata majeraha ya nyama za paja na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili.

• Chadrack Boka amepata jeraha la enka ya mguu wa kushoto na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili.

• Edmund John amepata jeraha la Bega na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili.
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Sijui ni kwa nini! Yanga ya hii miaka miwili tangu aondoke Aziz Kii imekuwa mdebwedo sana.

Kwa kuanzia, msimu ujao uongozi uachane na Boka halafu umpe mkataba yule namba 3 Imoro wa SBS afanye kazi.
 
•Ibrahim Abdullah (Bacca) amepata jeraha la nyonga na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha Wiki tatu

• Laurindo Dilson (Depu) amepata majeraha ya nyama za paja na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili.

• Chadrack Boka amepata jeraha la enka ya mguu wa kushoto na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili.

• Edmund John amepata jeraha la Bega na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili.
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Wameshakwisha....!!
 
wanaweza kuangalia na watu wao wa utimamu wa mwili hataa jeraha la job linaonekana lilikuwepo muda mrefu
 
Back
Top Bottom