Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Wameshakwisha....!!•Ibrahim Abdullah (Bacca) amepata jeraha la nyonga na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha Wiki tatu
• Laurindo Dilson (Depu) amepata majeraha ya nyama za paja na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili.
• Chadrack Boka amepata jeraha la enka ya mguu wa kushoto na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili.
• Edmund John amepata jeraha la Bega na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili.
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Mchezaji hua ni mzuri akiwa huko ngoja aje Yanga utaona balaa lakeSijui ni kwa nini! Yanga ya hii miaka miwili tangu aondoke Aziz Kii imekuwa mdebwedo sana.
Kwa kuanzia, msimu ujao uongozi uachane na Boka halafu umpe mkataba yule namba 3 Imoro wa SBS afanye kazi.