Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa.

Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa.

Kama ni kweli basi Hamasi wanapigana na Israel kwa sababu za kidini siyo kutaka nchi yao, it means wameshikilia mateka wa dini zote isipokuwa waislam? Kama ni hivyo litakuwa ni kusa kubwa kwa hamas
 
Wewe huaminiki tokea nikusome kuwa magaidi yamejificha chini ya cerry siku amini tena
Wapi nimekuambia uniamini? Wewe nyege zako ndiyo zinakuleta kwenye nyuzi zangu wengi wanapata habari kupitia Ritz wewe.

Mapunguani kama nyie mpaka leo meaminishwa na mabashaa zenu kuwa Shifaa Hospital ndiyo makao makuu ya Hamas, jinga kabisa
 
DOGO KAMA UMEPANICK SANA. SHEIKH KITINKU NDO AMEKUPA HIZI NONDO LEO?
 
Bangi za kwenye mahandaki zinawaharibu vichwa Hamas, kwa hio imewachukua siku 320 tangu mwaka jana mwezi wa kumi kutambua waliteka kimakosa ?
Na wewe usiwe pimbi yaani unamuokoa mateka mmoja bila mapambano kisha unawaacha mateka 105😀
 
Back
Top Bottom