Kwani ulikuwa hujui hilo? Waambieni Hamas waseme sababu za kumuuwa JoshuaKama ni kweli basi Hamasi wanapigana na Israel kwa sababu za kidini siyo kutaka nchi yao, it means wameshikilia mateka wa dini zote isipokuwa waislam? Kama ni hivyo litakuwa ni kusa kubwa kwa hamas
Huyo alikua jasusi linalotumiwa na mazayuni, wameona katubu wamemwachia.Ameshikiliwa kimakosa kwa zaidi ya miezi kumi?!
Cheap propaganda
CHeap propagandaHuyo alikua jasusi linalotumiwa na mazayuni, wameona katubu wamemwachia.
Wewe hata maana ya "propaganda" huielewi. Unazuka tu.CHeap propaganda
TaqqiyaWanaukumbi.
Kama kawaida ya Jeshi la Israel kwa kujisifia ujingq.
⚡️🇮🇱 NDANI TU: Norit Yohanan - Kan Kiebrania:
Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa.
View: https://x.com/suppressednws/status/1828453813646245914?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Lile la kupandia farasi au ngamia?Taqqiya
Wapi nimekuambia uniamini? Wewe nyege zako ndiyo zinakuleta kwenye nyuzi zangu wengi wanapata habari kupitia Ritz wewe.Wewe huaminiki tokea nikusome kuwa magaidi yamejificha chini ya cerry siku amini tena
HUYU DOGO HUWA ANAAMBIWA TAARIFA NA SHEIKH KITINKU ANALISHWA UONGO HAFIKIRII ANALETA HIVYO HIVYOWewe huaminiki tokea nikusome kuwa magaidi yamejificha chini ya cerry siku amini tena
DOGO KAMA UMEPANICK SANA. SHEIKH KITINKU NDO AMEKUPA HIZI NONDO LEO?Wapi nimekuambia uniamini? Wewe nyege zako ndiyo zinakuleta kwenye nyuzi zangu wengi wanapata habari kupitia Ritz wewe.
Mapunguani kama nyie mpaka leo meaminishwa na mabashaa zenu kuwa Shifaa Hospital ndiyo makao makuu ya Hamas, jinga kabisa
HAKUNA KITU KAMA HICHO. UONGO WA KITOTO KUTOKA KWA SHEIKH KITINKU.Huyo alikua jasusi linalotumiwa na mazayuni, wameona katubu wamemwachia.
Na wewe usiwe pimbi yaani unamuokoa mateka mmoja bila mapambano kisha unawaacha mateka 105😀Bangi za kwenye mahandaki zinawaharibu vichwa Hamas, kwa hio imewachukua siku 320 tangu mwaka jana mwezi wa kumi kutambua waliteka kimakosa ?
Bangi za kwenye mahandaki zinawaharibu vichwa Hamas, kwa hio imewachukua siku 320 tangu mwaka jana mwezi wa kumi kutambua waliteka kimakosa ?
Wanaukumbi.
Kama kawaida ya Jeshi la Israel kwa kujisifia ujingq.
⚡️🇮🇱 NDANI TU: Norit Yohanan - Kan Kiebrania:
Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa.
View: https://x.com/suppressednws/status/1828453813646245914?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw