Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa.

Kama unadhani wanajisifia ujinga, kawaulize Iran na yule alikuwa kiongozi wa Hamas ndio utajua hujui kuwa wapo sahihi

Tambua Israel hana cha maana kujisingizia ameokoa mateka wakati ni hewa. Kama unabisha waambie Hamas waikomboe Gaza
 
Nyie mujahidina mnajisikiaje mkiona pictures hizi kuwa kumbe Israel siyo tu wako wayahudi, bali serikali hiyo inaruhusu dini nyingine kuabudu hata hao waislamu wenzenu. Je kitu kama hicho kipo huko Gaza? Na nchi nyingine za kiarabu
, ukiiondoa UAE

View: https://x.com/JewishWarrior13/status/1828752674373935573
 
Yaani Israel pale tu Gaza wanashindia pale wameshindwa kuwapata mateka imagine udhaifu huo unawatia hasira wanalipua lipua majengo na kuua watoto na akina mama...

Kama wao ni Wanaume si wangeshajua mateka walipo???
 
Wapi nimekuambia uniamini? Wewe nyege zako ndiyo zinakuleta kwenye nyuzi zangu wengi wanapata habari kupitia Ritz wewe.

Mapunguani kama nyie mpaka leo meaminishwa na mabashaa zenu kuwa Shifaa Hospital ndiyo makao makuu ya Hamas, jinga kabisa
Kwani makao makuu yao yako wapi? hemu wasaidie
 
FIRST TESTIMONY OF RESCUED HOSTAGE FARHAN AL-QADI

"I was injured after they shot my leg.
We were first in an apartment, and there was almost no food there..
A few weeks after they kidnapped us, the terrorists filmed one of my fellow hostages in a video showing how he was dying slowly. Right after that, they filmed me as well, and then I saw how he was murdered in captivity.
When I returned from captivity, I realized they had never released my video, only his.

At that time, I had a field surgery to remove the bullet from my leg. The surgery was done with no anesthesia, and was extremely painful..

After a few months, the terrorists moved me to a tunnel where I was alone, surrounded only by terrorists..I couldn't tell the difference between day and night.

They were masked and mainly gave me a slice of bread to eat, there was very little food..
Once a month, there was a shower with water in a basin.
For the last few months, I was alone in the tunnel, without anyone, in complete darkness. They said that the tunnel is trapped and that if I’ll move-I’ll die.
I used to put my hands over my eyes just to check that I could still see because it was so dark.

In the last few days, the terrorists left me with a bit of bread and left me alone in the tunnel. Then after a while, I heard someone speaking Hebrew, and I realized these were our soldiers."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…