taarifa za wikipedia tanzania zipo nyuma kuliko za channeli za afrika youtube

taarifa za wikipedia tanzania zipo nyuma kuliko za channeli za afrika youtube

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
ukitaka kumficha mtanzania siri yako we andika kwenye kitambaa cha kupengea makamasi sio kitabu maana utakuwa umemtesa.
kwanza wote poleni kwa msiba mkubwa kuondokewa na waziri wa zamani lowasa.ila nashangaa mpaka sasa wikipedia imebaki na wasifu wake tu ujabadilishwa.
ukiingia chaneli za youtube nikama dagaa fulu walio vuliwa ndio wanatoa habari ya msiba
 
Back
Top Bottom