Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
BREAKING: Takriban watu 36,000 wa Gaza wameukimbia utawala wa Hamas tangu vita vilipoanza - wakiepuka kuingia wa kwenye ugaidi, machafuko, na kukata tamaa.
Hamas wanajaribu sana kuwazuia wasitoke Gaza kwa sababu inaamini bila kuwafanya raia kuwa kinga basi Itak osa umaarufu na Inaweza kufutiliwa mbali.Wakati huo huo, Israel imesaidia maelfu ya watu kuvuka salama na kuwapeleka kwenye mbalimbali zinazowakubali wao kuishi. Wananchi wa Gaza hawaikimbii Israel tu bali wanakimbia kutoka kwenye mikono ya magaidi wa Hamas.