Taarifa zangu za NIDA zinaweza kufikiwa na Chama cha siasa?

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Chama kimoja cha siasa (sina uhakika kama vingine navyo vinafanya hivi) kinaandikisha wanachama kwa kutumia kitambulisho cha NIDA.Je Chama hiki kitakuwa na uwezo wa kufikia taarifa binafsi za mwanachama?Nini faida na hasara zake?
 
Ndiyo!
 
CCM wana hila sana.
Mimi eti nadhituka wife ananiambia tukachukue kadi za CCM ziko tayari. Walimshawishi wife kaniandikisha bila ridhaa yangu
 
Kama ni chama dola wala siyo ajabu.....
Ushaambiwa chama na serikali
😄

Ova
 
Back
Top Bottom