Taasisi gani inatoa mikopo isiyo na Riba kwa wafanyakazi wa Serikali?

Tipstipstor

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2021
Posts
1,528
Reaction score
3,352
Nikiwa kama muajiriwa wa serikali naomba kufahamu ni taasisi gani ya kifendha inatoa mikopo ya pesa isiyokuwa na RIBA kwa watumishi wa Serikali?

Mwenye kufahamu naomba anifahamishe jinsi gani naweza kunufaika na huo mkopo.
 
Nikiwa kama muajiriwa wa serikali naomba kufahamu ni taasisi gani ya kifendha inatoa mikopo ya pesa isiyokuwa na RIBA kwa watumishi wa serikali?

Mkuu upo Taasisi gani ya Umma?
S. Mkuu
S. Mitaa
Mashirika ya Umma
Wakala wa Serikali
Nk

Kuna Mkopo wa HAZINA hutolewa kila mwaka unalipa kwa miaka6

Riba ni 3%
 
Nenda benki za Kiislam zinatowa mikopo bila riba
 
Nikiwa kama muajiriwa wa serikali naomba kufahamu ni taasisi gani ya kifendha inatoa mikopo ya pesa isiyokuwa na RIBA kwa watumishi wa serikali?

Mwenye kufahamu naomba anifahamishe jinsi gani naweza kunufaika na huo mkopo.
Sie wafanyakazi wa Kampuni binafsi tunaweka comments zetu wapi?
.
.
Au hata mikopo hata yenye riba nafuu nayo ni michongo?
 
kwendaaaaa nyie ndio wahujumu uchumi
Nikiwa kama muajiriwa wa serikali naomba kufahamu ni taasisi gani ya kifendha inatoa mikopo ya pesa isiyokuwa na RIBA kwa watumishi wa serikali?

Mwenye kufahamu naomba anifahamishe jinsi gani naweza kunufaika na huo mkopo.
Ndugu karibu tukuhudumie. Usisahau kitambulisho cha NIDA na Salary slip (latest).
 
Dunia nzima HAKUNA mkopo usio na RIBA narudia HAKUNA. Bank biashara yake ni kuuza na kununua hela ambapo faida ya biashara hiyo ni riba. Asikudanganye mtu eti ooh sijui islamic banking hakuna riba big NO. Riba ipo palepale kwa jina au mfumo mwingine
 
Ndugu karibu tukuhudumie. Usisahau kitambulisho cha NIDA na Salary slip (latest).
kuwa mkweli mnatoa mkopo bila RiBa? wahuni nyie mnavotesa waalimu mnawanyonya na mikopo ya riba kiwango sawa na akichokopa! mlaaniwe
 
Mkuu upo Taasisi gani ya Umma?
S. Mkuu
S. Mitaa
Mashirika ya Umma
Wakala wa Serikali
Nk

Kuna Mkopo wa HAZINA hutolewa kila mwaka unalipa kwa miaka6

Riba ni 3%
Hii wanakopeshana wakurugenzi, wakuu wa idara nk. Makombo ndio wanawaita watumishi wengine wagawane!
 
Back
Top Bottom