Taasisi gani wanakopesha kwa riba nafuu?

Taasisi gani wanakopesha kwa riba nafuu?

Wakuu mimi ni kijana mjasirimali

Nimepambana kwa muda hatimaye nimepata kaduka kangu kapo mjini kati

Sasa kulingana na pesa zangu za kuungaunga nimeshindwa kujaza mzigo nipige pesa

Nilikuwa naomba mnisaidie ni wapi naweza kupata mkopo wa milioni 2 wa riba nafuu kwa mwanza mjini ili niweke mzigo nipige show

Au mnanishauri aje ndugu zangu
Watafute mabena investment popote ulipo wapo au topher investment
 
Back
Top Bottom