lucky lefty
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 491
- 454
Ulishindwa kusema kwenye tangazo lako ili urahisishe kazi kwa wasomaji?
Mkuu naomba mawasiliano yaoNjoo hapa Bamaga kwa nyuma, Ulizia Life Saver Microfinance..... Una kitu gani cha kuweka bond? Wanapokea magari
0652503451
Njoo hapa Bamaga kwa nyuma, Ulizia Life Saver Microfinance..... Una kitu gani cha kuweka bond? Wanapokea magari
Labda uende pale African Microfinance wako Opposite na Calabash kwenye lile gorofa utaona bango limeandika AML microfinance
Labda uende pale African Microfinance wako Opposite na Calabash kwenye lile gorofa utaona bango limeandika AML microfinance
Unahitaji kiasi gani
Utailipa kwa miezi mingapi
Una chanzo gani cha mapato kuwezesha kurejesha mkopo kwa wakati
Kazi sio kigezo inategemea kazi ipo wapi na mshahara kiasi ganiInahitajika 5m, italipwa kwa miezi 5, chanzo cha mapato ni kazi nafanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh bado nariba hapoooKazi sio kigezo inategemea kazi ipo wapi na mshahara kiasi gani
Una kazi ya kurudishi milioni kwa mwezi wewe?