mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
[emoji106]Sawa SawaUlishindwa kusema kwenye tangazo lako ili urahisishe kazi kwa wasomaji?
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106]Sawa SawaUlishindwa kusema kwenye tangazo lako ili urahisishe kazi kwa wasomaji?
Ungesema location ya kiwanja chakoInahitajika 5m, italipwa kwa miezi 5, chanzo cha mapato ni kazi nafanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi sio kigezo inategemea kazi ipo wapi na mshahara kiasi gani
Una kazi ya kurudishi milioni kwa mwezi wewe?
Nakuuliza usione nakusumbua,ukija ukisema umefukuzwa kazi chanzo cha mapato hakuna marejesho itakuaje?nia ni kurudusha sio kuchukua kiwanja chako
Nisaidie elfu ishirini nitarudisha wiki ijayoNakuuliza usione nakusumbua,ukija ukisema umefukuzwa kazi chanzo cha mapato hakuna marejesho itakuaje?nia ni kurudusha sio kuchukua kiwanja chako
[emoji251]Nisaidie elfu ishirini nitarudisha wiki ijayo
God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
NENDA NMB au CRDB,Inahitajika 5m, italipwa kwa miezi 5, chanzo cha mapato ni kazi nafanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema hawakopeshi kiwanja atleast uwe umejenga hata course 4 mimi mwenyewe nataka kukopa.NENDA NMB au CRDB,
Ukiwa sharp, within 48hrs unakua ushapata mkopo wako.
Hizo microfinance utakuja Kupata KIHARUSI, KIDERI, au MKANDA WA JESHI mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hii inaweza kumtatulia shida yake?Mungu akufanyie wepesi
Sijaelewa maana ya hyo imoji
Wewe unaonaje?hii inaweza kumtatulia shida yake?
labda tumuulize kama ni msaada tosha kwakeWewe unaonaje?
Kuna mahali kasema dhamana yake yeye Ni KAZIWanasema hawakopeshi kiwanja atleast uwe umejenga hata course 4 mimi mwenyewe nataka kukopa.
Sent using Jamii Forums mobile app
si umesema utarydisha kwa mshahara, nenda benki mazeeWanasema hawakopeshi kiwanja atleast uwe umejenga hata course 4 mimi mwenyewe nataka kukopa.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahahaUlishindwa kusema kwenye tangazo lako ili urahisishe kazi kwa wasomaji?