maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
Kuna Taasisi zina Hali ambayo hairidhishi kwa kweli. Ziko hoi na zinaelekea pabaya. Sababu ndio nataka tuzijadili hapa, ila zinahuzunisha.
1. Taasisi ya ndoa - hii ndio ina hali mbaya sana
2. Taasisi ya familia - hii nayo inaelekea pabaya kabisa
3. Maadili, na adabu, desturi na mila
4. Weledi, uelewa, muono na kufikiri kwa kutumia akili tu na kujadiliana kwa hoja
5. Kujiamini - jinsia ya kiume kutokujiamini na ya kike kujiamini
6. Malezi na ushirikiano mtaani.
Hali ni Mbaya sana aisee!