Taasisi ip inayotoa mikopo kwa wastaafu

Taasisi ip inayotoa mikopo kwa wastaafu

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Kuna mtu anauliza taasisi ipi inatoa mikopo kwa wastaafu na terms zikoje.
 
Kuna mtu anauliza taasisi ipi inatoa mikopo kwa wastaafu na terms zikoje.
Inashangaza! We ulikuwa wapi wakati wenzio wanafanya biashara kipindi wapo kazini? Kwahiyo kiinua mgongo kimeisha? Au kama kawaida yenu waalimu kupenda kukopa? Au mademu wamekupigq na kitu kizito? Kubwa jinga!
 
Akili yako unaijua mwenyewe na ujimga wako kama uliona haifai si ungekaa kimya badala ya kujidhalilisha akili yako.
 
Tanzania Commercial Bank (TCB), hapo mwanzo ilikuwa inaitwa Tanzania Postal Bank(tpb).

Mkopo watakupa kama pensheni bado unapata, na itabidi ipitie kwao.
 
Back
Top Bottom