Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
Wakuu naomba anayejua ni wapi kwa hapa TZ chuo gani wanafundisha kozi za GIS na gharama zake pamoja na muda wa kozi kama ni certificate au diploma kama itawezekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naomba anayejua ni wapi kwa hapa TZ chuo gani wanafundisha kozi za GIS na gharama zake pamoja na muda wa kozi kama ni certificate au diploma kama itawezekana
Nafikiri Ardhi University wana hii kozi,pia hata SUA depertment ya Land Management Engineering nafikiri pia wanatoa kozi hii.Labda sijakuelewa kidogo is it unataka kusomea degree kabisa ya kozi hiyo au kozi fupifupi tu kwa issue specific vya GIS?
Jaribu ARU: http://www.aru.ac.tz/images/documents/pdf/GIS%20CourseAdvert.pdf . Katika hilo tangazo mwishoni wameweka namba za simu. Wapigie ili ujue kozi nyinge itaanza lini.Wakuu naomba anayejua ni wapi kwa hapa TZ chuo gani wanafundisha kozi za GIS na gharama zake pamoja na muda wa kozi kama ni certificate au diploma kama itawezekana
Ardhi University wanatoa hiyo kozi kuanzia certificate, kuna kipindi ilikuwa inafundishwa na Dr. Elifuraha Mtalo, niliisoma kama option katika major course yangu. Hatahivyo. Kuhusu gharama na muda kwa full course sifahamu. Tembelea tovuti yao au kama uko Dar unaweza kwenda kuwaona face to face.
Jaribu ARU: http://www.aru.ac.tz/images/documents/pdf/GIS%20CourseAdvert.pdf . Katika hilo tangazo mwishoni wameweka namba za simu. Wapigie ili ujue kozi nyinge itaanza lini.
nashukuru mkuu naona nimwshachelewa alafu hii ni introduction ambayo hata mimi nilishapitia ngoja nifuatilie angalau diploma au cheti
Must college ndo suluhisho,wapo Ubungo plaza ghorofa ya pili
Must college ndo suluhisho,wapo Ubungo plaza ghorofa ya pili
Unaweza kutuwekea website yao tafadhali...