Taasisi mbalimbali kupinga kufutwa kwa matokeo kidato cha nne -2012

Taasisi mbalimbali kupinga kufutwa kwa matokeo kidato cha nne -2012

Jamani ikoje hapo? Niwakumbushe kidogo ;Necta walifanya kazi yao vizuri kuandaa mitihani,kusahihisha,kupanga matokeo na wizara ikabariki na waziri wa elimu akayatangaza.kwa bahati mbaya kwa kuwa si mazuri kisiasa yametishia nafasi za watu (Wanasiasa).Tume ikaundwa ikafanya kazi yake halafu matokeo na mapendezo yakatangazwa na waziri mwingine(LUKUVI).kama sikosei ndie aliyeyafuta.Siyo aliyetangaza matokeo hayo(WAZIRI WA ELIMU)Au hata NECTA.Hivi katika nchi kumbe kuwa waziri unaweza kusema lolote juu ya wizara au idara zenye wasemaji wake.kwa maoni matokeo yasibadilishx madaraja serikali iandae utaratibu vijana warudi darasani na kufanya paper nyingine gharama zote ibebe.pia hao viongozi kisiasa(WAZIRI NA NAIBU)wajiuzulu.Hao wa NECTA (M/KITI NA KATIBU MTENDAJI)Msikubali kubadili matokeo kwa njia ya kufurahisha wanasiasa BORA MJIUZULU KWA HILI Si kwa kuwa matokeo mabaya!
 
Back
Top Bottom