Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Jun 19, 2020 #1 Tangazo linalohusu lishe kinga ya COVID 19 linakasoro, siku zote SUKARI ni sukari na haitaweza kuwa "Sukali", ni aibu na zaidi kwa ITV kutong'amua kosa hilo kwa siku nyingi.
Tangazo linalohusu lishe kinga ya COVID 19 linakasoro, siku zote SUKARI ni sukari na haitaweza kuwa "Sukali", ni aibu na zaidi kwa ITV kutong'amua kosa hilo kwa siku nyingi.
Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,171 Reaction score 15,760 Jun 19, 2020 #2 Kwamba sukari inafanyaje kwenye Corona mkuu? Sijalisikia hilo tangazo hebu fanya ku-share kidogo!
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Jun 19, 2020 Thread starter #3 Sir_Mimi said: Kwamba sukari inafanyaje kwenye Corona mkuu?sijalisikia hilo tangazo hebu fanya ku-share kidogo! Click to expand... Tiba lishe, vyakula unavyotakiwa kula sukari na siyo sukali ili kuimarisha kinga ya mwili wako dhidi ya COVID19.
Sir_Mimi said: Kwamba sukari inafanyaje kwenye Corona mkuu?sijalisikia hilo tangazo hebu fanya ku-share kidogo! Click to expand... Tiba lishe, vyakula unavyotakiwa kula sukari na siyo sukali ili kuimarisha kinga ya mwili wako dhidi ya COVID19.
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Jun 19, 2020 Thread starter #4 Sir_Mimi said: Kwamba sukari inafanyaje kwenye Corona mkuu? Sijalisikia hilo tangazo hebu fanya ku-share kidogo! Click to expand... Tangazo hili huoneshwa ITV kila siku saa moja jioni.
Sir_Mimi said: Kwamba sukari inafanyaje kwenye Corona mkuu? Sijalisikia hilo tangazo hebu fanya ku-share kidogo! Click to expand... Tangazo hili huoneshwa ITV kila siku saa moja jioni.