Taasisi ya Chakula na Lishe rekebisheni tangazo hili la COVID 19

Taasisi ya Chakula na Lishe rekebisheni tangazo hili la COVID 19

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Tangazo linalohusu lishe kinga ya COVID 19 linakasoro, siku zote SUKARI ni sukari na haitaweza kuwa "Sukali", ni aibu na zaidi kwa ITV kutong'amua kosa hilo kwa siku nyingi.
 
Kwamba sukari inafanyaje kwenye Corona mkuu? Sijalisikia hilo tangazo hebu fanya ku-share kidogo!
 
Kwamba sukari inafanyaje kwenye Corona mkuu?sijalisikia hilo tangazo hebu fanya ku-share kidogo!
Tiba lishe, vyakula unavyotakiwa kula sukari na siyo sukali ili kuimarisha kinga ya mwili wako dhidi ya COVID19.
 
Back
Top Bottom