blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Hiyo ni chai...na hamtaishika mkononimm3k kwa siku?
Mkipewa Mkononi then Mjigharamie Chai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni chai...na hamtaishika mkononimm3k kwa siku?
Hahahaha, unaweza kutusaidia ndugu?Waalimu wanaonewa sana
Bungeni Kyle ndiko kazini kwao na wao wanapewa posho ya laki nne ya Nini?Hujaelewa nini? Màfunzo yànatolewa hapohapo shuleni posho ya nini?
Hakuna ufafanuzi hapo. Mkurugenzi karukaruka na kukanyagana.UUfafanuzi hauendani na swali lililoulizwa.
Wewe nae ni mpuuzi tuu. Imagine mimi nimesafiri kwenda one way ni 15000 elfu times 2 ni 30000/= one day.Haya ni matatizo ya kukariri kupewa posho kwa kila jambo.
Ni mentality mbaya kwa taifa.
Mafunzo yanayofanyika shuleni kwa faida ya waalimu bado waalimu wanataka wapewe posho.
Naungana na wewe kiongozi hii haiko sawa,ivi hawa watu wanajua kutoka eneo mojahadi jingine unaweza kulipia pesa nyingi zaidi ya iyo elfu 3 kwa siku?Wewe nae ni mpuuzi tuu. Imagine mimi nimesafiri kwenda one way ni 15000 elfu times 2 ni 30000/= one day.
Na ilikuwa two days it means nimetumia 60000/= then naenda pale napata wali maharage wa 1500/= .
Kwako unaona hiyo ni sawa?????? Kisa mafunzo napewa mimi mwalimu?
Kuwa na staha ndugu.
Watu wamechoma nauli zao kilomita za kutosha mnadai ni ngaz ya shule? Tuambieni ni wapi mmetoa mafunzo kwa shule moja au 2 tu. Mmewaunganisha walimu shule zaidi ya 5 karibu kila halmashauri. Mliwapa taarifa hizo wahusika kuwa yako kwa utaratibu huo?Awali, Mdau wa JamiiForums.com aliandika kuwa Walimu wa Halmashauri ya Arusha wanatarajiwa kupewa mafunzo kwa ajili ya mitaala mipya ya Kidato cha Kwanza kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku ikiwa ni malipo ya chai, kwa maelezo kuwa yatakuwa mafunzo ya siku mbili, hivyo kila mmoja atalipwa Tsh. 6,000/=.
Kusoma zaidi kuhusu hoja hiyo bofya hapa ~ Walimu watakiwa kuhudhuria mafunzo ya mtaala mpya kwa siku 2 kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku!
Mwanachama mwingine wa JamiiForums.com akaandika “Walimu watapewa mafunzo hayo upande wa Mwanza bila kupewa fedha za kujikimu.”
Kusoma hoja hiyo bonyeza hapa ~ Walimu Mkoani Mwanza wafanya Mafunzo ya Mtaala Mpya bila Posho
Ufafanuzi umetolewa kuhusu hoja zote hizo mbili kutoka kwenye Mamlaka husika ya Serikali.
Akizungumza na JamiiForums kuhusu hoja hizo, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba, ambao ndio waratibu wa mafunzo hayo, amefafanua:
“Kwanza ieleweke wazi kuwa mafunzo haya yanafanyika katika ngazi ya shule. Hata hivyo, kwa ajili ya kubadilishana uzoefu baina ya Walimu, shule zaidi ya mbili zinaweza kukutana katika ngazi ya kata au tarafa.
“Walimu wanapokutana katika vituo vyao wanapata mafunzo kutoka chanzo kimoja ili kuhakikisha kuwa walimu wote wanapata mafunzo yenye ubora sawa.
“Mafunzo haya yamelengwa kuwawezesha walimu kutekeleza mtaala ulioboreshwa na yamepangwa kuwafikia walimu wote wa sekondari nchini. Utaratibu uliopo ni kuwawezesha washiriki kupata chai kwa pamoja ili kuhakikisha kuwa muda uliopo unatumika vema katika kutoa mafunzo tajwa.
“Mfumo huu sio tu kwa ajili ya Arusha au Mwanza bali utaratibu nafanyika hivyo kote Nchini. Mpaka sasa serikali imeshawafikia Walimu katika mikoa 23, na inatarajiwa kuwa mafunzo yatakamilika tarehe 31.1.2025.
“Mafunzo haya ni endelevu na yataendelea kutolewa katika ngazi ya shule kupitia jumuiya za ujifunzaji kwa kutumia mfumo wa ujifunzaji wa kidijitali ujulikanao kama Learning Management System yaani LMS.”
SHule gani imefanyiwa peke yake hayo mafunzo? Na wapi walishirikishwa kuwa ilistahili kuwa kila shule ila waungane ili ku share uzoefu? Tuache siasa kwenye mambo ya msingi msifanye watu kama ni hamnazo.Haya ni matatizo ya kukariri kupewa posho kwa kila jambo.
Ni mentality mbaya kwa taifa.
Mafunzo yanayofanyika shuleni kwa faida ya waalimu bado waalimu wanataka wapewe posho.
Hao walimu watulie kabisa. Hata kwenye uchaguzi hatutawalipa.Awali, Mdau wa JamiiForums.com aliandika kuwa Walimu wa Halmashauri ya Arusha wanatarajiwa kupewa mafunzo kwa ajili ya mitaala mipya ya Kidato cha Kwanza kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku ikiwa ni malipo ya chai, kwa maelezo kuwa yatakuwa mafunzo ya siku mbili, hivyo kila mmoja atalipwa Tsh. 6,000/=.
Kusoma zaidi kuhusu hoja hiyo bofya hapa ~ Walimu watakiwa kuhudhuria mafunzo ya mtaala mpya kwa siku 2 kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku!
Mwanachama mwingine wa JamiiForums.com akaandika “Walimu watapewa mafunzo hayo upande wa Mwanza bila kupewa fedha za kujikimu.”
Kusoma hoja hiyo bonyeza hapa ~ Walimu Mkoani Mwanza wafanya Mafunzo ya Mtaala Mpya bila Posho
Ufafanuzi umetolewa kuhusu hoja zote hizo mbili kutoka kwenye Mamlaka husika ya Serikali.
Akizungumza na JamiiForums kuhusu hoja hizo, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba, ambao ndio waratibu wa mafunzo hayo, amefafanua:
“Kwanza ieleweke wazi kuwa mafunzo haya yanafanyika katika ngazi ya shule. Hata hivyo, kwa ajili ya kubadilishana uzoefu baina ya Walimu, shule zaidi ya mbili zinaweza kukutana katika ngazi ya kata au tarafa.
“Walimu wanapokutana katika vituo vyao wanapata mafunzo kutoka chanzo kimoja ili kuhakikisha kuwa walimu wote wanapata mafunzo yenye ubora sawa.
“Mafunzo haya yamelengwa kuwawezesha walimu kutekeleza mtaala ulioboreshwa na yamepangwa kuwafikia walimu wote wa sekondari nchini. Utaratibu uliopo ni kuwawezesha washiriki kupata chai kwa pamoja ili kuhakikisha kuwa muda uliopo unatumika vema katika kutoa mafunzo tajwa.
“Mfumo huu sio tu kwa ajili ya Arusha au Mwanza bali utaratibu nafanyika hivyo kote Nchini. Mpaka sasa serikali imeshawafikia Walimu katika mikoa 23, na inatarajiwa kuwa mafunzo yatakamilika tarehe 31.1.2025.
“Mafunzo haya ni endelevu na yataendelea kutolewa katika ngazi ya shule kupitia jumuiya za ujifunzaji kwa kutumia mfumo wa ujifunzaji wa kidijitali ujulikanao kama Learning Management System yaani LMS.”
Ili slide zao ziweze kutimia kwa muda pangwa, wanajua bila kutoa chai ingekuwa ngum kuzikamilisha kwa mtu kukaa kwa training ya masaa 7 per dayKwa nini wanaona kwamba kuna sababu ya kuwapa chai tu hao walimu?
Hawajapata hela ya wafadhili kwa ajili ya mtaala mpya ili wawape posho walimu?Awali, Mdau wa JamiiForums.com aliandika kuwa Walimu wa Halmashauri ya Arusha wanatarajiwa kupewa mafunzo kwa ajili ya mitaala mipya ya Kidato cha Kwanza kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku ikiwa ni malipo ya chai, kwa maelezo kuwa yatakuwa mafunzo ya siku mbili, hivyo kila mmoja atalipwa Tsh. 6,000/=.