Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
Go Shariff go - Kutoka "Igongwe BAR" mpaka "White House"!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika wachangiaji wote katika thread hii naona wewe ndio uliyefunguka kimawazo. Wengine wote wanaendekeza siasa na kusahau uchumi.
WaTanzania lazima muwe na mtazamo chanya. Balozi za nchi zote hapa Duniani zinafanya kazi za kutangaza na kuvutia mazuri kwa ajili ya kukuza uchumi wa nchi zao. Kwani Bila uchumi hakuna maendeleo. msiendekeze siasa zenu za chuki kwani hizo haziwezi kuwasaidia na mtaendelea kuwa nchi maskini tena maskini wa kutupwa hapa Duniani.
Ndio maana Wakenya wanatangaza mambo yenu kama Mt Kilimanjaro na hata Babu wa Samunge wapo kenya , Nyie wenyewe mnakalia siasa.
Labda mjifungue, Ni nani mtanzania ambaye ni msafi? Fungukeni na mbadili mitazamo yenu iwe ni kwa ajili ya kuendeleza uchumi wa nchi yenu.
hivi TZ huwa tuna matrade attachee kwenye balozi zetu?Katika wachangiaji wote katika thread hii naona wewe ndio uliyefunguka kimawazo. Wengine wote wanaendekeza siasa na kusahau uchumi.WaTanzania lazima muwe na mtazamo chanya. Balozi za nchi zote hapa Duniani zinafanya kazi za kutangaza na kuvutia mazuri kwa ajili ya kukuza uchumi wa nchi zao. Kwani Bila uchumi hakuna maendeleo. msiendekeze siasa zenu za chuki kwani hizo haziwezi kuwasaidia na mtaendelea kuwa nchi maskini tena maskini wa kutupwa hapa Duniani.Ndio maana Wakenya wanatangaza mambo yenu kama Mt Kilimanjaro na hata Babu wa Samunge wapo kenya , Nyie wenyewe mnakalia siasa.Labda mjifungue, Ni nani mtanzania ambaye ni msafi? Fungukeni na mbadili mitazamo yenu iwe ni kwa ajili ya kuendeleza uchumi wa nchi yenu.
it might be another DECI,usanii tu!
NI kweli lakini sijawahi kusikia BALOZI au Kiomgozi yeyote huko kwa wazungu mwenye NGO huku akiwa ofisini?
au wewe unaijua NGO yeyote ya Balozi wa kigeni hapa nchini?
Au unaijua NGO ya kiongozi wowote huko kwa wenzetu amabyo inaongozwa na kiongozi aliye madarakani?
![]()
Huyu Sio US SENATOR; Jamani huyu labda ni labda Senator wa State au City (Wilaya au Mkoa) moja huko USA... Hakuna Senator Mweusi kwenye USA Senate... kuna Masenate 100 wawili kila State... kuna State 50 (Majimbo)
Kwahiyo huyu Mama ni labda rafiki; Senator wadogo hawana lolote hata mafungu ya pesa kama Madiwani wetu hawana... Kwahiyo ni kutubarangisha wabongo...
happy are the poor for the kingdom of god is theres,.,kwi kwiiWezi katika kushirikiana kutafuna keki ya Taifa, huu ni mpango katika ile mipango khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee poor Tanzanians.
''Kila Mtu na Kamhogo kake'' Jenerali Twaha Ulimwengu,akina Maajar hiyo trust fund ndio Kamhogo kao,wengine Kamuhogo kao ndio WAMa,Fursa Sawa,Kagoda,Alphatel n.kmwenyekiti wa taasisi ni mwanaida maajar na makamu ni sharrif maajar hii taasisi inaonekana kama ni ya kifamila zaidi badala ya kuwa ya kuwa na muonekano wa kitaifa zaidi. lengo na nia ni nzuri lakini kunaweza kutokea kikwazo ktk uwajibikaji ni ngumu mke kumwajibisha mume au mume kumwajibisha mkewe makosa yanapotokea na ni rahisi kwa taasisi kuongozwa kwa personal feelings which is lethal in any business transaction
badala ya kuzingatia professionalism. ushauri wangu kwao ni kwamba ingekuwa vizuri wao wangeingia kwenye board of trustees na kuwaachia
wengine waendeshe taasisi kwani inakuwa rahisi kwao kumonitor all the activities na kurekebisha makosa kuliko wao kuwa ndio wakurekebishwa.
Interesting... State Senator no tittle at all no power at all, and she's owns RIB's Business (restaurant to make Ribs and Wings); High Education... HIGH SCHOOL(TZ Standards Form Four)Jackie Winters is a Republican politician (Senator) representing a specific district in Oregon. She is also a business woman. Bonyeza hapa chini for more info.
Jackie Winters
Mke wa Rais na notebooks!!!!
![]()
Anafaa kupewa credit za kuleta wawekezaji wa sekta ya nishati, hususan umeme? Naona walioinunua DOWANS ni wa huko Amerika.
ama kweli kwenye msafara wa mamba jike, na mamba dume wamo (of course!!). Hapa chini, nyuma, kushoto kabisa, tunamwona si mwingine bali yule jizi wa mabilioni ya shilingi aliyekuwa "balozi" wa tanzania italia, na ambaye kesi yake ya tokea 2004 bado haijaisha hadi hii leo kutokana na mizengwe kibao (huku mashahidi wengine wakuu washafariki dunia na hata kufikia benjamin mkapa kuitwa kama shahidi upande wa mshitakiwa) "professor" costa mahala akiwa kwenye uzinduzi wa taasisi ya hassan maajar...kwa mtaji huu, kwa kweli kazi ipo!
![]()