KERO Taasisi ya Kahawa, TACRI Moshi malipo yanachelewa na wengine kutokulipwa kabisa

KERO Taasisi ya Kahawa, TACRI Moshi malipo yanachelewa na wengine kutokulipwa kabisa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wafanyakazi hatulipwi kwa wakati na wapo walioingia kazini Nov. 2025 hawajalipwa mpaka imebidi waondoke na ni vijana waliotoka chuo, wanaishije?

Alikuja Mkurugenzi wa land planning somebody Mdeke aliahidi kufanyia kazi ila hamna lolote lililofanyika. Kama hawatawaajiri kama waliavyowaahidi basi wawalipe maana ilikuwa ni ajira, sio intern wala kujitolea.

Kuelekea Meimosi!
 
Back
Top Bottom