Taasisi ya Moyo ya Kikwete (JKCI) kuwatibu bure wasanii nchini. Huu ni uamuzi wa ovyo

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Huu ni uchonganishi wa wazi kabisa kati ya serikali ya CCM na wapigakura wake. Kama mmeona kuna umuhimu wa watu kupata vipimo basi fanyeni kwa wananchi wote. Ina maana mtu kama Giggy Money ana umuhimu kuliko wakulima wa korosho? Huu ujinga ndo unafanya wapinzani wapate kura za huruma. Hao wasanii wasio na maadili watamshawishi nani?

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza huduma ya kuwapima moyo na kuwapa matibabu bure Wasanii wa Tanzania ili kuwasaidia kuokoa maisha yao.

Akiongea leo December 13,2024 Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge amesema wametoa huduma hiyo kwa ajili ya kuokoa Wasanii wengi wanaopata maradhi moyo na kushindwa kupima mapema hivyo kubaini wanaugua kwa kuchelewa na kupelekea gharama za matibabu kuwa kubwa au hata kuhatarisha maisha yao.

“Mh. Rais ametutaka tuwafikie Wasanii na Watu mbalimbali kwa kuwapima kwa punguzo na tumeamua katika Clinic yetu ile ambayo ipo pale Kawe siku za Jumamosi na Jumapili tutatoa matibabu bure kwa Wasanii, bure unakuja unapimwa unachekiwa ili kugundua kama una shida, afya ndio kitu cha msingi, hatutaki tusikie Msanii ameanguka akiwa anaimba hatutaki, tukigundua una shida ya afya tunakuambia ufanye hivi na hivi na lakini Wasanii ni kioo cha Jamii mtatusaidia kuwaeleza Watu kuhusu magonjwa haya yasiyoambukiza”

“Nawaomba Wasanii mjiunge na Vyama vya Wasanii mkishajiunga tutawasiliana na Viongozi watawapa kadi maalum ambazo mkizitumia mtakuwa mnapata punguzo la bei, kuna wengine hawana bima kwahiyo inakuwa rahisi, ila tumieni siku za Jumamosi na Jumapili kupima bure na kupata matibabu bure”

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Taasisi ya Mamw Ongea na Mwanao, Steve Nyerere akiongea kwa niaba ya Wasanii ameushukuru Uongozi wa Muhimbili pamoja na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwa kujua umuhimu wa Wasanii wa Filamu na kuamua kuwashika mikono kwenye kuokoa maisha yao “Sisi tunapima vinywaji tu vinavyolewesha, vinavyoongeza nguvu za kiume lakini kupima moyo na kupima afya tunashindwa, tunapoteza nguvu kazi ya Taifa, kujigundua afya sio kufa inasaidia kuishi kwa umakini”
 
1000285438.jpg
 
kitanda kwa siku ni tsh 50000.
kumuona daktari ni ghalama plus kuzuia maiti mpka zilipe deni ndo mpewe wahusika.halafu ;leo msanii atatibiwa bure safiii Tanzania
 
Watunga sera wetu na mbumbumbu
Wanaleta upendeleo kwenye masuala ya afya
Kwamba akiugua moyo mkulima wa kahawa wa Kyerwa afetu, lakini msanii atibiwe Bure
Na wote ni walipa Kodi
Huu ni ubaguzi wa kingese
MbumbuMbu ina afadhali ni MAZUZU PRO MAX...
 
Uzuri tutalalamika tu mwisho wa siku wasanii watapimwa bure na maisha yataendelea kama kawaida
 
Huu ni uchonganishi wa wazi kabisa kati ya serikali ya CCM na wapigakura wake. Kama mmeona kuna umuhimu wa watu kupata vipimo basi fanyeni kwa wananchi wote. Ina maana mtu kama Giggy Money ana umuhimu kuliko wakulima wa korosho? Huu ujinga ndo unafanya wapinzani wapate kura za huruma. Hao wasanii wasio na maadili watamshawishi nani?

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza huduma ya kuwapima moyo na kuwapa matibabu bure Wasanii wa Tanzania ili kuwasaidia kuokoa maisha yao.

Akiongea leo December 13,2024 Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge amesema wametoa huduma hiyo kwa ajili ya kuokoa Wasanii wengi wanaopata maradhi moyo na kushindwa kupima mapema hivyo kubaini wanaugua kwa kuchelewa na kupelekea gharama za matibabu kuwa kubwa au hata kuhatarisha maisha yao.

“Mh. Rais ametutaka tuwafikie Wasanii na Watu mbalimbali kwa kuwapima kwa punguzo na tumeamua katika Clinic yetu ile ambayo ipo pale Kawe siku za Jumamosi na Jumapili tutatoa matibabu bure kwa Wasanii, bure unakuja unapimwa unachekiwa ili kugundua kama una shida, afya ndio kitu cha msingi, hatutaki tusikie Msanii ameanguka akiwa anaimba hatutaki, tukigundua una shida ya afya tunakuambia ufanye hivi na hivi na lakini Wasanii ni kioo cha Jamii mtatusaidia kuwaeleza Watu kuhusu magonjwa haya yasiyoambukiza”

“Nawaomba Wasanii mjiunge na Vyama vya Wasanii mkishajiunga tutawasiliana na Viongozi watawapa kadi maalum ambazo mkizitumia mtakuwa mnapata punguzo la bei, kuna wengine hawana bima kwahiyo inakuwa rahisi, ila tumieni siku za Jumamosi na Jumapili kupima bure na kupata matibabu bure”

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Taasisi ya Mamw Ongea na Mwanao, Steve Nyerere akiongea kwa niaba ya Wasanii ameushukuru Uongozi wa Muhimbili pamoja na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwa kujua umuhimu wa Wasanii wa Filamu na kuamua kuwashika mikono kwenye kuokoa maisha yao “Sisi tunapima vinywaji tu vinavyolewesha, vinavyoongeza nguvu za kiume lakini kupima moyo na kupima afya tunashindwa, tunapoteza nguvu kazi ya Taifa, kujigundua afya sio kufa inasaidia kuishi kwa umakini”
Kwani Msigwa hajaja kukanusha na hili?
 
Back
Top Bottom