Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Special Thread: Karibu tukuhudumie, tunaomba Maoni, Ushauri, Malalamiko, na hata Pongezi

Taasisi ya Mifupa-MOI

Senior Member
Joined
Apr 15, 2025
Posts
118
Reaction score
214
MOI tumeanzisha ukurasa huu rasmi kwa dhumuni la kupokea Maoni, Malalamiko, Ushauri na Pongezi kwa ajili ya kupata mrejesho wa huduma tunazozitoa katika taasisi, pia kutoa ushauri kwa Umma kuhusiana na Tiba ya Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu, Fiziotherapia, Utengemao na Tiba Lishe.

Zifahamu Huduma zetu;
☑️Huduma za dharura kwa saa 24 siku 7 za wiki
☑️Huduma za upasuaji wa kibingwa na kibobezi wa ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu
☑️Huduma za kibingwa na kibobezi ya mifupa kwa watoto na watu wazima
☑️Huduma za upasuaji wa mishipa ya damu kwenye ubongo bila kufungua fuvu
☑️Huduma za matibabu ya kiharusi
☑️Huduma za magonjwa ya ndani
☑️Huduma za kibobezi za chumba cha uangalizi maalum na uangalizi wa hali ya juu (HDU na ICU)
☑️Huduma za utengenezaji wa viungo saidizi
☑️Huduma za matibabu kwa wanamichezo
☑️Huduma za ushauri kwa njia ya mtandao
☑️Huduma za upandikizaji wa viungo vya goti na nyonga
☑️Huduma za kibobezi za upasuaji wa mfupa wa kiuno
☑️Huduma za wagonjwa maalum na wa Kimataifa (Premier and International Patients Services)
☑️Huduma za kibobezi za upasuaji wa magoti na mabega kwa njia ya matundu
☑️Huduma za kibobezi za mazoezi tiba, utengamao na vifaa tiba saidizi
☑️Huduma za vipimo vya MRI, CT Scan, USS,DR, CR na C-Arm
☑️Huduma za dawa (Pharmaceutical Services)
☑️Huduma za tiba ya chakula na lishe
☑️Huduma za maabara
☑️Huduma za utalii wa kimatibabu kwa wageni (Medical tourism services for foreigners)
☑️Huduma za wodi za kisasa za kulipia
☑️Kliniki binafsi na huduma za haraka
☑️Kliniki ya maumivu makali ya kichwa
☑️Kliniki ya maumivu sugu ya mgongo
☑️Kliniki ya maumivu ya nyonga na magoti
☑️Kliniki ya maumivu na ganzi kwenye miguu na mikono.

Tufuate katika mitandao yetu ya kijamii:
Instagram @taasisiyamifupa_MOI Login • Instagram

Facebook @taasisiyatibayamifupa_MOI Bei Facebook anmelden

X (Twitter) @taasisiyamifupa_MOI Take a look at taasisiyamifupa_MOI (@TaasisiyaMifupa): https://x.com/TaasisiyaMifupa?t=1mL_0eK2nKg7kYjXVmn5bw&s=08

Threads: taasisiyamifupa_MOI Muhimbili Orthopaedic Institute-MOI (@taasisiyamifupa_moi) • Threads, Say more

Youtube: MOI TV MOI TV

Anuani;
Mkurugenzi Mtendaji,
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI),
S.L.P 65474,
Mtaa wa Kalenga,
Upanga ya Magharibi,
Dar es Salaam, Tanzania.

Website www.moi.ac.tz
Email [email protected]
Fax +255-022-215298/2152938

Kwa Mawasiliano zaidi tupigie: +255733803104
 
n kwann huwa mnawakata miguu bodaboda wakiletwa kwenu???
 
Hongera Kwa taasisi ya MOI kuanzisha ukurasa wenu RASMI hapa ni matumaini yangu kwamba mtapokea maoni yetu na kuyafanyia KAZI , na kimsingi ilitakiwa taasisi zote za umma na mashirika yake kuwa na ukurasa hapa, kwani hapa ndio unapata maoni ya moja Kwa moja toka Kwa wadau.
 
MOI tumeanzisha ukurasa huu rasmi kwa dhumuni la kupokea Maoni, Malalamiko, Ushauri na Pongezi kwa ajili ya kupata mrejesho wa huduma tunazozitoa katika taasisi, pia kutoa ushauri kwa Umma kuhusiana na Tiba ya Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu, Fiziotherapia, Utengemao na Tiba Lishe.

Zifahamu Huduma zetu;
☑️Huduma za dharura kwa saa 24 siku 7 za wiki
☑️Huduma za upasuaji wa kibingwa na kibobezi wa ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu
☑️Huduma za kibingwa na kibobezi ya mifupa kwa watoto na watu wazima
☑️Huduma za upasuaji wa mishipa ya damu kwenye ubongo bila kufungua fuvu
☑️Huduma za matibabu ya kiharusi
☑️Huduma za magonjwa ya ndani
☑️Huduma za kibobezi za chumba cha uangalizi maalum na uangalizi wa hali ya juu (HDU na ICU)
☑️Huduma za utengenezaji wa viungo saidizi
☑️Huduma za matibabu kwa wanamichezo
☑️Huduma za ushauri kwa njia ya mtandao
☑️Huduma za upandikizaji wa viungo vya goti na nyonga
☑️Huduma za kibobezi za upasuaji wa mfupa wa kiuno
☑️Huduma za wagonjwa maalum na wa Kimataifa (Premier and International Patients Services)
☑️Huduma za kibobezi za upasuaji wa magoti na mabega kwa njia ya matundu
☑️Huduma za kibobezi za mazoezi tiba, utengamao na vifaa tiba saidizi
☑️Huduma za vipimo vya MRI, CT Scan, USS,DR, CR na C-Arm
☑️Huduma za dawa (Pharmaceutical Services)
☑️Huduma za tiba ya chakula na lishe
☑️Huduma za maabara
☑️Huduma za utalii wa kimatibabu kwa wageni (Medical tourism services for foreigners)
☑️Huduma za wodi za kisasa za kulipia
☑️Kliniki binafsi na huduma za haraka
☑️Kliniki ya maumivu makali ya kichwa
☑️Kliniki ya maumivu sugu ya mgongo
☑️Kliniki ya maumivu ya nyonga na magoti
☑️Kliniki ya maumivu na ganzi kwenye miguu na mikono.

Tufuate katika mitandao yetu ya kijamii:
Instagram @taasisiyamifupa_MOI Login • Instagram

Facebook @taasisiyatibayamifupa_MOI Bei Facebook anmelden

X (Twitter) @taasisiyamifupa_MOI Take a look at taasisiyamifupa_MOI (@TaasisiyaMifupa): https://x.com/TaasisiyaMifupa?t=1mL_0eK2nKg7kYjXVmn5bw&s=08

Threads: taasisiyamifupa_MOI Muhimbili Orthopaedic Institute-MOI (@taasisiyamifupa_moi) • Threads, Say more

Youtube: MOI TV MOI TV

Anuani;
Mkurugenzi Mtendaji,
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI),
S.L.P 65474,
Mtaa wa Kalenga,
Upanga ya Magharibi,
Dar es Salaam, Tanzania.

Website www.moi.ac.tz
Email [email protected]
Fax +255-022-215298/2152938

Kwa Mawasiliano zaidi tupigie: +255733803104
Mnapandikiza nywele?
 
Mgonjwa anaruhusiwa kuja kupata matibabu kwenu bila kuanzia Hospital nyingine?
 
Tambulisheni ID ya profesa Janabi..
Kama ambayo majukwaa mengine kama Fb, LinkedIn n.k yameheshimiwa Kwa kuweka utambulisho binafsi basi iendelee kuthibitishwa hivyo katika jukwaa hili la JA....
I Truly appreciate you guys, mnafanya kazi tukufu mnoooo
 
MOI tumeanzisha ukurasa huu rasmi kwa dhumuni la kupokea Maoni, Malalamiko, Ushauri na Pongezi kwa ajili ya kupata mrejesho wa huduma tunazozitoa katika taasisi, pia kutoa ushauri kwa Umma kuhusiana na Tiba ya Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu, Fiziotherapia, Utengemao na Tiba Lishe.

Zifahamu Huduma zetu;
☑️Huduma za dharura kwa saa 24 siku 7 za wiki
☑️Huduma za upasuaji wa kibingwa na kibobezi wa ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu
☑️Huduma za kibingwa na kibobezi ya mifupa kwa watoto na watu wazima
☑️Huduma za upasuaji wa mishipa ya damu kwenye ubongo bila kufungua fuvu
☑️Huduma za matibabu ya kiharusi
☑️Huduma za magonjwa ya ndani
☑️Huduma za kibobezi za chumba cha uangalizi maalum na uangalizi wa hali ya juu (HDU na ICU)
☑️Huduma za utengenezaji wa viungo saidizi
☑️Huduma za matibabu kwa wanamichezo
☑️Huduma za ushauri kwa njia ya mtandao
☑️Huduma za upandikizaji wa viungo vya goti na nyonga
☑️Huduma za kibobezi za upasuaji wa mfupa wa kiuno
☑️Huduma za wagonjwa maalum na wa Kimataifa (Premier and International Patients Services)
☑️Huduma za kibobezi za upasuaji wa magoti na mabega kwa njia ya matundu
☑️Huduma za kibobezi za mazoezi tiba, utengamao na vifaa tiba saidizi
☑️Huduma za vipimo vya MRI, CT Scan, USS,DR, CR na C-Arm
☑️Huduma za dawa (Pharmaceutical Services)
☑️Huduma za tiba ya chakula na lishe
☑️Huduma za maabara
☑️Huduma za utalii wa kimatibabu kwa wageni (Medical tourism services for foreigners)
☑️Huduma za wodi za kisasa za kulipia
☑️Kliniki binafsi na huduma za haraka
☑️Kliniki ya maumivu makali ya kichwa
☑️Kliniki ya maumivu sugu ya mgongo
☑️Kliniki ya maumivu ya nyonga na magoti
☑️Kliniki ya maumivu na ganzi kwenye miguu na mikono.

Tufuate katika mitandao yetu ya kijamii:
Instagram @taasisiyamifupa_MOI Login • Instagram

Facebook @taasisiyatibayamifupa_MOI Bei Facebook anmelden

X (Twitter) @taasisiyamifupa_MOI Take a look at taasisiyamifupa_MOI (@TaasisiyaMifupa): https://x.com/TaasisiyaMifupa?t=1mL_0eK2nKg7kYjXVmn5bw&s=08

Threads: taasisiyamifupa_MOI Muhimbili Orthopaedic Institute-MOI (@taasisiyamifupa_moi) • Threads, Say more

Youtube: MOI TV MOI TV

Anuani;
Mkurugenzi Mtendaji,
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI),
S.L.P 65474,
Mtaa wa Kalenga,
Upanga ya Magharibi,
Dar es Salaam, Tanzania.

Website www.moi.ac.tz
Email [email protected]
Fax +255-022-215298/2152938

Kwa Mawasiliano zaidi tupigie: +255733803104
Hongereni kuwa member hapa jukwaani , ni jambo jema sana kuweza kuifikia jamii kwa mapana yake.
Huduma zenu ni nzuri na muhimu sana kwa muktadha wake lakini ukweli ulio wazi kiongelewacho na uhalisia ni tofauti mno.

Wagonjwa wengi wanapoteza maisha kwa sababu zilizo juu ya uwezo wenu.

Lakini tusi laumu sana kwani wakati si wa milele, jana si leo wala leo si kesho naamini kesho yenu kama moi ni nzuri sana .
 
Hongereni Kwa kuendelea kujenga afya za watanzania,
Nawaomba ikiwezekana chunguzeni madhara ya hizi pombe Kali mfano hizi za plastik zinaletwa kienyeji saana, muwape watu elimu jinsi ya kuzitumia Kwa usahihi kama kuzifungia itashindikana,
Vijana wengi wameumizwa saana na hizi pombe na wengine imepelekea kifo kabisa
 
Fafanua zaidi kwenye huduma mnazotoa za tiba ya chakula na lishe

Kliniki binafsi na huduma za haraka,inakuwaje?
 
n kwann huwa mnawakata miguu bodaboda wakileywa kwenu???
Habari mdau wetu?
Lengo la wataalamu wetu (madaktari, wauguzi n.k) ni kuokoa viungo vya wagonjwa na kwamba uamuzi wa kukata kiungo hufanywa tu baada ya tathmini ya kina na kwa kuzingatia afya ya mgonjwa.

Uamuzi wa aina hiyo hufanywa kwa kuzingatia hali ya mgonjwa na kwa lengo la kuokoa maisha.
 
Hongereni Kwa kuendelea kujenga afya za watanzania,
Nawaomba ikiwezekana chunguzeni madhara ya hizi pombe Kali mfano hizi za plastik zinaletwa kienyeji saana, muwape watu elimu jinsi ya kuzitumia Kwa usahihi kama kuzifungia itashindikana,
Vijana wengi wameumizwa saana na hizi pombe na wengine imepelekea kifo kabisa
Habari mdau wetu? Sahihi kabisa matumizi ya pombe hususani pombe kali ina athari kwa mifupa ya binadamu kama kuathiri kazi ya seli zinazohusika na kujenga mifupa mpya, hivyo kuzuia uboreshaji wa mifupa.

Hivyo tunachukua ushauri wako na tutaufanyia kazi. Asante!
 
Back
Top Bottom