Taasisi ya usalama wa taifa (TISS) ina bajeti?

Status
Not open for further replies.

TISS hawakaguliwi kutokana na ukweli kwamba mambo yao yoote wanayoyafanya yanatakiwa kuwa siri, ila tatizo usiri huo unatumika vibaya sana, sidhani kama kuchukua Pesa kudhibiti upinzania ni Kazi ya usalama wa Taifa, sidhani kama kuchukua Pesa kulipa watu kwenye Ishu kama za Ulimboka na Kibanda ni kazi ya usalama wa Taifa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…