Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Apr 4, 2023 #1 Sina mengi, Kivuko cha buguruni chama binafsi sikioni kama Kiko salama, naomba mamlaka husika ikitupie jicho, baadhi ya mabati ambayo ndiyo tunapita juu yake yameanza kuacha space au kuachana. Ni hayo tu. Wasalaamu.
Sina mengi, Kivuko cha buguruni chama binafsi sikioni kama Kiko salama, naomba mamlaka husika ikitupie jicho, baadhi ya mabati ambayo ndiyo tunapita juu yake yameanza kuacha space au kuachana. Ni hayo tu. Wasalaamu.
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Apr 4, 2023 #2 Mpaka mfe ndo wataenda angaikia
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Apr 4, 2023 Thread starter #3 To yeye said: Mpaka mfe ndo wataenda angaikia Click to expand... Umakini na udadisi wangu katika kila nifanyacho au nipitapo ni kero sana, pia baadhi ya vyuma mateja wamebangua hapo darajani.
To yeye said: Mpaka mfe ndo wataenda angaikia Click to expand... Umakini na udadisi wangu katika kila nifanyacho au nipitapo ni kero sana, pia baadhi ya vyuma mateja wamebangua hapo darajani.
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Apr 4, 2023 #4 Crocodiletooth said: Umakini na udadisi wangu katika kila nifanyacho au nipitapo ni kero sana, pia baadhi ya vyuma mateja wamebangua hapo darajani. Click to expand... Serikali itupie jicho kabla maafa kutokea
Crocodiletooth said: Umakini na udadisi wangu katika kila nifanyacho au nipitapo ni kero sana, pia baadhi ya vyuma mateja wamebangua hapo darajani. Click to expand... Serikali itupie jicho kabla maafa kutokea