Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ukitaja wanaweza kuzuga kutoa hata barua feki ili kuficha ushahidi.Yaani mko Elfu Moja afu ukashindwa kutaja hiyo taasisi?
Hii haki unaitafutaje kwa mafumbo hivyo?
Kutoa barua fake itakuwa ni kosa juu ya kosa na hawawezi kuthubutu.Ukitaja wanaweza kuzuga kutoa hata barua feki ili kuficha ushahidi.
Hii ni case ngumu ndugu
Hawa watu nilishawahi kuwabananisha na Waziri mkuu Majaliwa.Kutoa barua fake itakuwa ni kosa juu ya kosa na hawawezi kuthubutu.
Sasa huoni kuwa huo ni uhuni.Kwa utaratibu wa sasa hupewi barua hadi mshahara ubadilike ili usije kudai malimbikizo. Baada ya payroll au mshahara kutoka na mabadiliko ndo unapewa barua
AhahahahahaItakuwa ualimu tu, hii kazi kuifanya hapa TZ ni mkosi mkubwa
Watumishi walioingizwa mapema kwenye mfumo wengi wameshakuwa approved na hiyo imewafanya baadhi ya Taasisi kutoa barua kwa kuwa wana uhakika mshahara utabadilika na wengine wamesubiri hadi mshahara utoke ndo watoe barua.Sasa huoni kuwa huo ni uhuni.
Endapo hakuna atakayepanda daraja nchi yote huoni kuwa serikali itaendelea kujizolea ujiko kuwa wamewapandisha watumishi madaraja huku hamna kitu?
Kuna Taasisi wamewapa watumishi wao barua za kupanda madaraja je, wametenda kosa?
Itakuwa ualimu tu, hii kazi kuifanya hapa TZ ni mkosi mkubwa
Watumishi walioingizwa mapema kwenye mfumo wengi wameshakuwa approved na hiyo imewafanya baadhi ya Taasisi kutoa barua kwa kuwa wana uhakika mshahara utabadilika na wengine wamesubiri hadi mshahara utoke ndo watoe barua. Kuhusu kupandisha watu kama mtu ana sifa wengi watapanda mwezi na wachache watakaochelewa watapanda mwezi ujao. Kwenye hilo lazima tushukuru watu wamesota muda mrefu
Sasa huoni kuwa huo ni uhuni.
Endapo hakuna atakayepanda daraja nchi yote huoni kuwa serikali itaendelea kujizolea ujiko kuwa wamewapandisha watumishi madaraja huku hamna kitu?
Kuna Taasisi wamewapa watumishi wao barua za kupanda madaraja je, wametenda kosa?
Si usubiri tu itafikaOfisi yetu ina jumla ya watumishi wapatao elfu moja Tanzania mzima kwa makadirio.
Mpaka sasa kila nikiwapigia watumishi wenzangu walioko mikoa tofauti naambiwa hakuna aliyepata barua ya kupandishwa daraja au cheo.
Wiki mbili zilizopita tulijazishwa ma Opras. Wengine huyaita hopeless. Mimi miaka karibu yote nakataa kuyajaza, nimejaza majuzi baada ya kuambiwa kuwa yatawekwa mezani kusort watumishi watakaopanda madaraja.
Niko tayari kutoa ushirikiano kwa kuitaja ofisi husika endapo atatokea kiongozi kwa maelezo zaidi.
Daaahh haya mambo yalipelekea Mozambique watu kutoana kuchaMpaka sasa bilabila dadeki
Elimu....!!Subiria j5 utajua ukweli na barua utakabidhiwa ikisoma kitu kipya!