Taasisi yetu mpaka sasa hakuna aliyepewa barua ya kupandishwa daraja

wenzio wanakuficha siri zao, kada nyingi wengi wamepata barua hizo, swala kubwa hapo ni iwapo muamala utasomeka!!!
 
Mnalalamika tuu kutopandishwa vyeo mbona hamuongelei ufanisi wa nafasi mlizonazo kwa sasa.
Kwa nini upandishwe cheo wakati hapo mlipo hakuna ufanisi wowote???
 
Mpeni mama muda, bado anajenga nchi😅😅
 
Mnalalamika tuu kutopandishwa vyeo mbona hamuongelei ufanisi wa nafasi mlizonazo kwa sasa.
Kwa nini upandishwe cheo wakati hapo mlipo hakuna ufanisi wowote???
Ufanisi!!!!!!!
Hilo ndilo tatizo la mamburura wengi.
Kama sijatimiza viwango nilivyopangiwa si ningefukuzwa kazi.
Mwajiri kuendelea kuwa na mimi ina maana kuwa ananihitaji na ninafit.
Asitokee mwehu yeyote kutaka kutuhadaa watumishi kwa visingizio vya uchapakazi, uadilifu n.k
Kama nina kosa niwajibishwe accordingly na mwajiri anilipe vizuri.
Kinyume cha happy tutakuwa tunajilipa in terms of time of resources and money.
 
Hawa watu nilishawahi kuwabananisha na Waziri mkuu Majaliwa.
Sasa hapa siwezi kuingia kichwakichwa maana wakijua ni mimi tena nimewachomekea watanitengenezea zengwe.
"Niko tayari kutoa ushirikiano kwa kuitaja ofisi husika endapo atatokea kiongozi kwa maelezo zaidi."

Kumbuka hayo maneno umesema mwanzo.
Sema uko wapi na Taasisi ipi?
Msaada uko karibu
 
Pole sana mtumishi mwenzangu. Mimi barua nilipata na nasikia kesho inshaallaaah!!
 
Pole sana mtumishi mwenzangu. Mimi barua nilipata na nasikia kesho inshaallaaah!!
Kesho ndipo utakapojua kuwa mwanasiasa ndugu yake wa damu ni shetani utakapoona kiasi kilekile🤣🤣🤣🤣🤣☺️
Naomba wakutendee kama walivyokuahidi kwenye barua yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…