Taasisi yetu mpaka sasa hakuna aliyepewa barua ya kupandishwa daraja

Hawa watu nilishawahi kuwabananisha na Waziri mkuu Majaliwa.
Sasa hapa siwezi kuingia kichwakichwa maana wakijua ni mimi tena nimewachomekea watanitengenezea zengwe.
Umeshasema Siri tayari,kuwa uliwabananisha na Majaliwa.
Watakutrace.
Umeharibu tayari.
 
Kweli kabisa,halafu kila siku ripoti za Wizara mbalimbali zinasomwa zinatolewa na hata bajeti zinasomwa Bungeni,wafanyakazi wangekua hawawajibiki ripoti hizo zingetokaje?
Na uchumi wa Kati tungefikiaje?
 
Si ndo happy sasa. Sijui wanajua Magufuli ndio kafanya kazi.
Kweli kabisa,halafu kila siku ripoti za Wizara mbalimbali zinasomwa zinatolewa na hata bajeti zinasomwa Bungeni,wafanyakazi wangekua hawawajibiki ripoti hizo zingetokaje?
Na uchumi wa Kati tungefikiaje?
 
Wengine tulipata Barua mapema kwa mbwembwe cha ajabu salary imetoka haina marekebisho ya daraja wala kalavati!
Ehehehe.
Kuna jamaa yangu kupandishwa daraja ingawa hajapata barua. Mimi naogopa kucheki salio . Nikikuta hamna mabadiliko siku yangu itaharibika.
 
Ofisi nyingi hasa zilizo chini ya TAMISEMI ,watumishi waliombwa oprass hadi za miaka ya nyuma. Wengine walikuwa hawana, wakaanza kufoji kwa umakini hasa kipengele cha tarehe.

Sina uhakika, ila inasemekana walikuwa wana-upload font page na back page ambayo huwa ina comment, nafikir wajazaji wa oprass wanafahamu.

Umesema ulikuwa unapuuza kujaza oprass. Siku nyingine, hata kama unaona jambo halina umuhimu kwako, ila kama umeagizwa na kiongozi kulifanya, basi wewe lifanye tu.

Wakati mwingine viongozi wanaamua kutafuta sababu za kupunguza watu fulani kwa kuweka vigezo, ambavyo vinaweza kukuathiri kutokana na kupuuza. Kwa mfano, oprass zinatakiwa kukamilishwa mwisho wa mwaka. Sasa kama mlijaza kwa presha wiki mbili zilizopita, halafu mkajikuta mmezikosea (mfano kuback date), wakigoma kuwapandisha daraja, je utamlalamikia nani?

Ieleweke mpaka sasa, kigezo kimojawapo cha kupanda daraja ni oprass. Suala kwamba hawaziangalii, hilo ni wao. Ila wanaweza kuzifanyia kazi kisawa sawa. Hivyo, usiishi kwa mazoea!

NB. Mmejaza oprass wiki mbili zilizopita. Leo ni mwaka 2021, na mwaka haujaisha. Oprass zilizokuwa zinaangaliwa zaidi ni 2020 kushuka chini. Sasa nyie mmejaza oprass za lini?
 
mh mkuu wa idara nimekupata vyema kiongoz.haya tunashkuru mubg hata hicho kidg wengine hawapat mungu akipenda hata 2026
 

Hakuna siku nimeacha kujaza Opras ila hawajanipandisha nimemuuliza mhusika kanijibu kuwa wamenisahau bahati mbaya, nimekosa cha kuongea
 
Kuona mabadiliko kwenye mshahara raha sana! Maticha waloona mabadiliko kwenye salary[emoji3]
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…