Uchaguzi 2020 Taasisi za Kimataifa zatoa tafiti zao kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020

Nipe sababu zako!
CCM huwa hawashindi kihalali.
Nipe sababu zako!
Sababu zangu ni kwamba CCM hajawahi kushinda kihalali, sababu kubwa zaidi kuliko zote ni hii,mkurugenzi nimekuteua mimi,ninakulipa mshahara, unaishi kwenye nyumba ya serekali, unatembelea gari ya serekali halafu nikusikie umetangaza mpinzani kashinda, maneno hayo na marufuku hiyo siyo ya kwangu ni ya mwenye serekali yake.
 
UTAKUWA UTAFITI WAKO. HAKUNA KICHWA KINAISHI LONDON KINAWEZA KUWAZA HIVI.
CHINI YA POMBE HAKUNA UCHAGUZI
 
Ukiongelea uchaguzi wa Tanzania ni lazima uguse tume ya uchaguzi, vyombo vya dola, vyombo vya habari na magoli ya mikono...... kisha huo utafiti wauandike tena upya na kwa lugha ya kiswahili kisha ukausome.
 
CCM akili zenu mnazijua wenyewe tu, huu utafiti ungekuwa opposite kwenu basi mngesema hao ni MABEBERU wamebanwa na jiwe.
 
Link please!
 
Source please! unashindwa hata kuweka link?
 
Huitaji kuwa na PHD kujua hilo kwa upinzani upi uliopo sasa hadi 2020 wachukue nchi
Inatakiwa wajenge vyama na kujipanga kwa 2025
Lakini watatujaza ujinga na ukiisha uchaguzi watatuambia kuwa walishinda ila waliibiwa kura


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani alishinda 2015! Wabongo kweli mnadanganyika kirahisi viti vyote vya ubunge walivyo zoa ccm Tanzania nzima Leo hii unamini kuwa Lowasa alishinda

Sent using Jamii Forums mobile app
naweza kukuthibitishia kwamba nusu ya wabunge wa ccm hawakushinda uchaguzi ule , mfano halisi ni Mbunge wa Kyela Harrison Mwakyembe na mbunge wa Rungwe Saul Amon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…