Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
join date 30 dec 2018 , umejiunga humu kuja kusema uongo ?Huitaji kuwa na PHD kujua hilo kwa upinzani upi uliopo sasa hadi 2020 wachukue nchi
Inatakiwa wajenge vyama na kujipanga kwa 2025
Lakini watatujaza ujinga na ukiisha uchaguzi watatuambia kuwa walishinda ila waliibiwa kura
Sent using Jamii Forums mobile app