I wish ningekusaidia upate vitu vya ndani.Muongo wewe hii link yako inakupeleka kwenye home page ambayo hiyo ripoti haipo. Halafu siku nyingine ukitoa hoja kumbuka ni jukumu lako kuitetea kwa vielelezo na sio kuwaambia watu wakatafute vyanzo.
Hayo mkuu ni yako.CCM akili zenu mnazijua wenyewe tu, huu utafiti ungekuwa opposite kwenu basi mngesema hao ni MABEBERU wamebanwa na jiwe.
www.eiu.comSource please! unashindwa hata kuweka link?
Kwa hivo wabunge wa vyama vya upinzani WALIWEKWA na CCM?naweza kukuthibitishia kwamba nusu ya wabunge wa ccm hawakushinda uchaguzi ule , mfano halisi ni Mbunge wa Kyela Harrison Mwakyembe na mbunge wa Rungwe Saul Amon
Si mambo ya sijui nini. Ukweli lazima usemwe!Tafiti kama hizo ndo zinazopendagwa...Zingesema tofauti tungewaita mabeberu
Mkuu Gol man ndo hiyo. www.eiu.comUzuri wetu upande wetu tunajua kusoma kwa hiyo usitake kujifanya mwema kwa kutusomea! Hata kama hiyo link imeandikwa kijapan weka hapa tutasoma tuu!
Taasisi za wale MABEBERU au WENGINE..??Habari za utafiti wa hivi karibuni toka shirika amaTaasisi ya kimataifa ya Intelijensia ya Kiuchumi/ Economist Intelligence Unit/EIU lenye makao yake makuu jijini London Uingereza, limetoa matokeo yake ya kitafiti kuhusu UCHAGUZI ujao wa 2020 wa Tanzania.
Taasisi hiyo ya kimataifa ambayo ndo think tank kuu ya mambo ya kimataifa katika Nyanja za KISIASA, KIUCHUMI n.k.imetoa utafiti wake.
Miongoni mwa kazi zake kuu ni kufanya Utafiti/Research na ANALYSIS/ UCHAMBUZI ili kupata MATOKEO/ PROJECTION za nchi mbali mbali kuhusu Siasa na Uchumi na hivyo kubashiri wakiwa wamelenga shabaha kabisa/ Accuracy katika ubashiri wao.
Kulingana na Tafiti na Chambuzi zake za hivi karibuni zinazohusu uchaguzi wa Tanzania wa mwaka ujao wa 2020,
Rais Magufuli anategemewa kuchaguliwa tena kwa kura nyingi sana kuliko uchaguzi uliopita wa mwaka 2015.
Tafiti zao zinaonyesha pia kuwa, chama cha CCM kitachukua viti vingi sana vya UBUNGE na hivyo kuvinyima vyama vya upinzani nafasi nyingi za UBUNGE.
Tafiti zinasema pamoja na kuwa vyama vya upinzani vimejaribu sana bado CCM itapata ushindi mkubwa sana na hivyo kuifanya Tanzania kubaki nchi iliyo na Stability/AMANI kwa miaka mingi ijayo.
Chanzo: IEU.
Eti things will remain the same?Under ceteris paribus ccm kutoba uchaguzi sio kazi laisi.
Ndo hao Wazungu. Hawana namna bali kutoa kile wanachokiona kitatokea ama vipi mkuu?Taasisi za wale MABEBERU au WENGINE..??
Mkuu ingia msituni tafuta.Huu utafiti umefanyika kibarazani lumumba. hakuna link yoyote zaidi ya porojo porojo tu
MHUBIRI 4:13 SUV
"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
www.eiu.comweka link ya ya hiyo unayoita taarifa
Nishangaacho ni kwamba, hao wazungu, wakisema tofauti na mategemeo yao WANAITWA MABEBERU... ila wakisema vile wanavyotaka wasikie.. WANAKUWA WATAFITI WA KIMATAIFANdo hao Wazungu. Hawana namna bali kutoa kile wanachokiona kitatokea ama vipi mkuu?
sijui ni swali au ni maelezo !Kwa hivo wabunge wa vyama vya upinzani WALIWEKWA na CCM?
Mkuu si kila jambo lisiloegemea upande wako unaliita ni la MABEBERU.Taasisi za wale MABEBERU au WENGINE..??
Mkuu sidhani kama ni kweli usemavyo. Kwani ni lini walipopewa jina mabeberu?Nishangaacho ni kwamba, hao wazungu, wakisema tofauti na mategemeo yao WANAITWA MABEBERU... ila wakisema vile wanavyotaka wasikie.. WANAKUWA WATAFITI WA KIMATAIFA
Erythrocyte hilo ni swali. Yaani kama CCM ni wezi wa Kura.sijui ni swali au ni maelezo !