Taasisi zà kufanyiwa uçhunguzi wa kina awamu ya sita

Taasisi zà kufanyiwa uçhunguzi wa kina awamu ya sita

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
18,223
Reaction score
31,465
Zifuatazo ni taasisi za kufanyiwa uçhunguzi wa hali ya juu kwà awamu ya sita:
1. Wizara ya fedha...doto James
2. Tanroads... engineer Mfugale na mameneja wa tanroads mikoa yote
3. Takukuru yenyewe
4. Tamisemi Halmashauri zote
5. ATCL
6. Mamlaka ya Bandari tanzania
7. Wizara ya elimu, ukarabati wa shule kongwe nchini
8. SGR na bwawa la Julius nyerere.
9. Ununuzi wa ndege zote
10. Wizara ya afya
11. Mfumo wa mapokezi ya fedha za serikali kupita control number
 
Yule kigogo nahis ni team SSH


Ngoja tumsikilize mtumbuo ujao
 
Back
Top Bottom