peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Sahihi, hawa ni wezi kupitia faini kandamizi.TCRA
Wakiokuwa wanatumwa,utasikia Tigo faini 30 bilion,voda faini 34 bilion. Jamani. Miaka mitano tumeiona kama miaka mia.Sahihi, hawa ni wezi kupitia faini kandamizi.