KERO Taasisi za Serikali chini ya NACTVET na mambo ya bima ya afya

KERO Taasisi za Serikali chini ya NACTVET na mambo ya bima ya afya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Hypersonic

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
829
Reaction score
1,564
Wanajamvi ikiwa leo ni jumapili tukufu huku tukisherekea sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar binafsi nina jambo linalonishangaza.

Ambalo ni michango inayoitwa ya Bima ya afya inayochukuliwa na vyuo vya serikali na vile vilivyoko chini ya NACTVET.

Ni jambo la kawaida kwa mwananchuo kutakiwa kutoa Tanzania shilingi 50,400/= kabla ya kuanza masomo.

Cha ajabu ni kwamba mwanafunzi anatoa na mpaka anamaliza mwaka wa kwanza bila kupata kadi ya bima kwa ajili ya kumwezesha kupata matibabu.

Kwa nini lisitafutwe jina lingine la hii michango badala ya hiki kiini macho cha bima ya afya?
 
Back
Top Bottom