Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
😂Kifua kipana
Ukakamavu
Mbio nyingi Kama Simbu
Daah, inaikitisha sana mkuu. Kama comments tu zinawaogopesha hivyo vingine wataweza kuhimili? Ah ndiyo wanaviamini virungu vyao?Wanajua wanachofanya sio sahihi na wabongo wamejawa nyongo wanatafuta pa kutemea
Hawa itabidi wacharazwe viboko 30 kila siku kwa kukosa nidhamu kwa raia ambao wanatakiwa kuwalinda.Daah, inaikitisha sana mkuu. Kama comments tu zinawaogopesha hivyo vingine wataweza kuhimili? Ah ndiyo wanaviamini virungu vyao?