TAASISI ZA UMMA ZENYE MASLAHI

TAASISI ZA UMMA ZENYE MASLAHI

middle east

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
1,308
Reaction score
1,690
Habari za wakuu,
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja tunafahamu kwamba taasisi hizi zipo vizuri kwenye maslahi je ni wapi kuna maslahi zaidi ikiwa mtumishi anataka kuhamia huko.
TBS, NSSF, TMDA, EWURA, MSD, WCF, TPDC, TIRA
Maslahi zaidi ya posho na safari kidogo.
Naomba msinishambulie kwa matusi sasa wakuu.
 
Nafasi ipi? Maslahi pia inategemea na position na kitengo ulichopo. Customer service sio sawa na procurement officers
 
Back
Top Bottom