hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
8. Kudanga kwa madamu wa Bongo moviesZa asubuhi....
Moja kwa moja kwenye mada.
1.TRA
2.MAHAKAMA
3.TAASISI ZA UJENZI BARABARA KAMA TARURA N.K
4.TBS
5.MALIASILI
6.HOSPITAL
7.Ongezea zingine
Idara za ManunuziZa asubuhi....
Moja kwa moja kwenye mada.
1.TRA
2.MAHAKAMA
3.TAASISI ZA UJENZI BARABARA KAMA TARURA N.K
4.TBS
5.MALIASILI
6.HOSPITAL
7.Ongezea zingine
Hii orodha hujaitendea haki. Pale no.1. POLISI, 2. Mahakama, 3. TRA 4. UHAMIAJI 5............Za asubuhi....
Moja kwa moja kwenye mada.
1.TRA
2.MAHAKAMA
3.TAASISI ZA UJENZI BARABARA KAMA TARURA N.K
4.TBS
5.MALIASILI
6.HOSPITAL
7.Ongezea zingine
Pole mkuu, huko TRA inaonekana walikufanya vibaya! 😂😂Mimi naona;
1.TRA
2.TRA
3.TRA
4.TRA
5.TRA
6.MAHAKAMA
7.TAASISI ZA UJENZI BARABARA KAMA TARURA N.K
8.TBS
9.MALIASILI
10.HOSPITAL
11.HALMASHAURI & MANISPAA
Wana KAMBA YAO vimichango michango vya mitihani na mambo mengine.......pia kuuza vitafunwa barafu n.k.
Michango ni makubaliano baada ya kuangalia mahitaji. Kwani ni kamba hiyo? Vitafunwa na barafu ni biashara halali kabisa. Au hujui tunachojadili?Wana KAMBA YAO vimichango michango vya mitihani na mambo mengine.......pia kuuza vitafunwa barafu n.k.
Evangelical churches/makanisa ya kilokole ( broad daylight robbers)Za asubuhi....
Moja kwa moja kwenye mada.
1.TRA
2.MAHAKAMA
3.TAASISI ZA UJENZI BARABARA KAMA TARURA N.K
4.TBS
5.MALIASILI
6.HOSPITAL
7.Ongezea zingine
Hawa sikuwajua. Kumbe wanakupiga kodi kubwa ili ujiongeze. Udipojiongeza utabaki na hiyo kodi aisee.TRA TRA TRA. kuna dogo aliingia akiwa field akapata chance akaajiriwa kumbe hakurudi chuo mwaka wa pili ila baada ya miaka mitatu yule dogo ana Audi 2,anamlea mama yake,anamsomesha mdogo ake, ni mwendo wa Hennessy tu yaan ni saiv level zake sio za kawaida tena.
We muongo, hakuna afsa wa tra anachukua rushwa kizembe hivyo tena kwa kutumia number yake official..labda kama ulikutana na vishoka.Hawa sikuwajua. Kumbe wanakupiga kodi kubwa ili ujiongeze. Udipojiongeza utabaki na hiyo kodi aisee.
Juzi tu nimeenda makadirio. Kufika tu, baada ya maswali yao, wakanambia kodi yangu ni laki 450. Halafu natakiwa niwe na mashine ya efd. Nikawaambia isiwe taabu, kwa kuwa sina deni, naenda kufunga leo. Nikasimama niindoke. Mara napenyezewa kikaratasi, eti jiongeze upunguziwe kodi. Nikasema sawa, ila hapa sina, nipe no ya simu. Akanipa. Tulipomalizana nikaondoka halafu kimya. Nilipigiwa simu kama nadaiwa vile.
Kiungwana nikamtumia 5,000. Hakujibu lolote nikampotezea.
PolisiZa asubuhi....
Moja kwa moja kwenye mada.
1.TRA
2.MAHAKAMA
3.TAASISI ZA UJENZI BARABARA KAMA TARURA N.K
4.TBS
5.MALIASILI
6.HOSPITAL
7.Ongezea zingine
huku kumejaa mijitu yenye roho mbaya kama ng'ombe na mbuziNa sisi ambao tupo chini ya wizara ya kilimo na mifugo wakuu
Hebu nisaidia.......Michango ni makubaliano baada ya kuangalia mahitaji. Kwani ni kamba hiyo? Vitafunwa na barafu ni biashara halali kabisa. Au hujui tunachojadili?
Hao wanasubiri hadi mtu ananunua kiwanjaSerikali ya mtaa
Sahihi kabisaEvangelical churches/makanisa ya kilokole ( broad daylight robbers)
Hapo kwenye rushwa ya buku tano umetupiga kambaHawa sikuwajua. Kumbe wanakupiga kodi kubwa ili ujiongeze. Udipojiongeza utabaki na hiyo kodi aisee.
Juzi tu nimeenda makadirio. Kufika tu, baada ya maswali yao, wakanambia kodi yangu ni laki 450. Halafu natakiwa niwe na mashine ya efd. Nikawaambia isiwe taabu, kwa kuwa sina deni, naenda kufunga leo. Nikasimama niindoke. Mara napenyezewa kikaratasi, eti jiongeze upunguziwe kodi. Nikasema sawa, ila hapa sina, nipe no ya simu. Akanipa. Tulipomalizana nikaondoka halafu kimya. Nilipigiwa simu kama nadaiwa vile.
Kiungwana nikamtumia 5,000. Hakujibu lolote nikampotezea.
Fafanua mkuuhuku kumejaa mijitu yenye roho mbaya kama ng'ombe na mbuzi
ni huzuni kubwa sana imagine mtu ana confidence ya kuomba rushwa kwa kiasi hichoHawa sikuwajua. Kumbe wanakupiga kodi kubwa ili ujiongeze. Udipojiongeza utabaki na hiyo kodi aisee.
Juzi tu nimeenda makadirio. Kufika tu, baada ya maswali yao, wakanambia kodi yangu ni laki 450. Halafu natakiwa niwe na mashine ya efd. Nikawaambia isiwe taabu, kwa kuwa sina deni, naenda kufunga leo. Nikasimama niindoke. Mara napenyezewa kikaratasi, eti jiongeze upunguziwe kodi. Nikasema sawa, ila hapa sina, nipe no ya simu. Akanipa. Tulipomalizana nikaondoka halafu kimya. Nilipigiwa simu kama nadaiwa vile.
Kiungwana nikamtumia 5,000. Hakujibu lolote nikampotezea.
Tatizo hawana usimamizi. Serikali haiwasimamii. TRA ni kama wana serikali yao.ni huzuni kubwa sana imagine mtu ana confidence ya kuomba rushwa kwa kiasi hicho
Mbona Mahakama sio taasisi.Za asubuhi....
Moja kwa moja kwenye mada.
1.TRA
2.MAHAKAMA
3.TAASISI ZA UJENZI BARABARA KAMA TARURA N.K
4.TBS
5.MALIASILI
6.HOSPITAL
7.Ongezea zingine