Taasisi zinazokula kwa urefu wa kamba zao

Mimi naona;
1.TRA
2.TRA
3.TRA
4.TRA
5.TRA
6.MAHAKAMA
7.TAASISI ZA UJENZI BARABARA KAMA TARURA N.K
8.TBS
9.MALIASILI
10.HOSPITAL
11.HALMASHAURI & MANISPAA
Pole mkuu, huko TRA inaonekana walikufanya vibaya! 😂😂
 
Wana KAMBA YAO vimichango michango vya mitihani na mambo mengine.......pia kuuza vitafunwa barafu n.k.
Wana KAMBA YAO vimichango michango vya mitihani na mambo mengine.......pia kuuza vitafunwa barafu n.k.
Michango ni makubaliano baada ya kuangalia mahitaji. Kwani ni kamba hiyo? Vitafunwa na barafu ni biashara halali kabisa. Au hujui tunachojadili?
 
Za asubuhi....
Moja kwa moja kwenye mada.
1.TRA
2.MAHAKAMA
3.TAASISI ZA UJENZI BARABARA KAMA TARURA N.K
4.TBS
5.MALIASILI
6.HOSPITAL
7.Ongezea zingine
Evangelical churches/makanisa ya kilokole ( broad daylight robbers)
 
Hawa sikuwajua. Kumbe wanakupiga kodi kubwa ili ujiongeze. Udipojiongeza utabaki na hiyo kodi aisee.

Juzi tu nimeenda makadirio. Kufika tu, baada ya maswali yao, wakanambia kodi yangu ni laki 450. Halafu natakiwa niwe na mashine ya efd. Nikawaambia isiwe taabu, kwa kuwa sina deni, naenda kufunga leo. Nikasimama niindoke. Mara napenyezewa kikaratasi, eti jiongeze upunguziwe kodi. Nikasema sawa, ila hapa sina, nipe no ya simu. Akanipa. Tulipomalizana nikaondoka halafu kimya. Nilipigiwa simu kama nadaiwa vile.

Kiungwana nikamtumia 5,000. Hakujibu lolote nikampotezea.
 
We muongo, hakuna afsa wa tra anachukua rushwa kizembe hivyo tena kwa kutumia number yake official..labda kama ulikutana na vishoka.
 
Hapo kwenye rushwa ya buku tano umetupiga kamba
 
ni huzuni kubwa sana imagine mtu ana confidence ya kuomba rushwa kwa kiasi hicho
 
Za asubuhi....
Moja kwa moja kwenye mada.
1.TRA
2.MAHAKAMA
3.TAASISI ZA UJENZI BARABARA KAMA TARURA N.K
4.TBS
5.MALIASILI
6.HOSPITAL
7.Ongezea zingine
Mbona Mahakama sio taasisi.
Hivi wakuu somo la uraia mlikuwa mnakariri au ni kutokufahamu mambo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…