Taasisi zinazokula kwa urefu wa kamba zao

muhimili wowote wa serikali, ni taasisi pia, including Rais
Aisee, ina maana haujui kuwa Mahakama sio muhimili wa serikali?. Mahakama ni muhimili wa dola ambapo kuna mihimili mitatu ya dola; Serikali, Mahakama na Bunge.

Alafu sasa ndani ya muhimili wa Mahakama kuna moja ya vyombo vyake kinaitwa Mahakama ya Tanzania.
 
😀DOLA ina mihimili mitatu, dola ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…