Taasisi zipi naweza kupata udhamini wa masomo ya chuo kada za afya

Taasisi zipi naweza kupata udhamini wa masomo ya chuo kada za afya

calvny

Member
Joined
Aug 28, 2023
Posts
9
Reaction score
10
samahanini wakuu nilikua naomba kujua kama naweza pata udhamini wa masomo hasa kada za afya kwa anaejua anisaidie wakuu
 
Kama huna uwezo wa kulipia tafuta njia nyingine kuliko kutegemea taasisi au watu.
Nenda hata veta kisha utafanya unachopenda ukipata pesa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom