Mohamed Said ,
..kuna watu wanadai kuwa walimuonya Mzee Mwinyi kuhusu kumteua Mrema waziri wa mambo ya ndani lakini hawakusikilizwa.
..lingine ni kwamba Mzee Mwinyi alimpandisha cheo Mrema kuwa "naibu waziri mkuu" cheo ambacho hakikuwepo kikatiba.
..kwa msingi huo wanamlaumu Mzee Mwinyi kwa madudu na vitimbi alivyofanya Augustino Mrema.