Taazia: Dr. Tamim Bushiri

Hujajibu swali Bin Mwamedi

Kaburi linatoa adhabu ipi? Mambo ya Papa tuyaache kwanza lets stick on the Topic
Waislamu ndiyo wanajua kwa mujibu wa mafundisho ya dini yao, ni kama nyie mnavyofundishwa kwamba hamna dhambi kwa sababu dhambi zenu zote zitakuwa zimefutwa na Yesu baada ya kusulubiwa.
Umewahi kusikia kuna Muislamu yeyote amehoji kuhusu jambo hilo? Kwa sababu yeye halimuhusu.
 
RIP DK NAKUKUMBUKA SANA PUMZIKA KWA AMANI ASHAZIKWA WAPI
 
Umeacha mada na kuingiza jambo lingine ambalo pia hulijui ndio maana umeandika usichokijua

Back to the Topic, Kwanini mimi sipaswi kujua Kaburi linatoa adhabu ipi kwa aliyekufa?
 
Umeacha mada na kuingiza jambo lingine ambalo pia hulijui ndio maana umeandika usichokijua

Back to the Topic, Kwanini mimi sipaswi kujua Kaburi linatoa adhabu ipi kwa aliyekufa?
Hupaswi kujua kwa sababu wewe sio muumini.
 
Hupaswi kujua kwa sababu wewe sio muumini.
Naweza nikawa si Muumini lakini Imani huja kwa kusikia, naweza kusikia na kuvutiwa na mafundisho hayo kisha nikaamini

Sio vizuri kufanya siri kwa Waumini pekee
 
Shukrani Kwa taarifa Mkuu sana Mohamed Said

Huenda nilisoma taarifa ambazo hazikuwa sahihi kuhusu wawili hawa

Vipi kuhusu Oscar Kambona na Mwl Nyerere, Kipi kilitokea watu hawa wawili kugeuka maadaui baina yao licha ya nyakati kadhaa kufanya kazi pamoja huko nyuma?

Na kama hautajali unaweza kuelezea vile unavyofahamu sababu hasa ya Mwl Nyerere kufanyiwa majaribio kadhaa ya kutaka kupinduliwa na Jeshi? Mathalani niliwahi kusoma humu mtandaoni kuhusu jaribio la akina Zakaria Hanspope na wenzake kujaribu kumpindua..

Shida hasa ilikuwa ipi kutaka kufanikisha hilo?
 
mzee yapaswa avumiliwe, akili za kizee si unajua huwa zinarudi utotoni. hajawahi kuwa na stori zingine zaidi ya kuongelea waislam as if wana hatimiliki na hii nchi sisi wengine ni wakuja tu. watu kama hawa hawana faida kwenye hii dunia.
 
Naweza nikawa si Muumini lakini Imani huja kwa kusikia, naweza kusikia na kuvutiwa na mafundisho hayo kisha nikaamini

Sio vizuri kufanya siri kwa Waumini pekee
Swali lako halikulenga kujua bali lililenga kubeza na kukebehi, hata hivyo unakaribishwa kwenye darsa msikiti wowote ulio karibu nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…