Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
TAAZIA FUPI KWENYE MAZIKO YA MZEE KITWANA SELEMANI KONDO 2017
Naeleza siku aliyonipa jina la "mole," (kachero, jasusi)wa Waingereza aliyekuwa ndani ya uongozi wa juu wa TANU 1954.
Naeleza mkutano wa siri nyumbani kwa Hamza Mwapachu, Nansio Ukerewe mwaka wa 1953 kujadili kumwingiza Julius Nyerere katika uongozi wa juu wa TAA na mwaka unaofuatia 1954 waunde TANU.
Kikao hiki huyu "mole," wa Waingereza alikuwa kasafiri na Abdul Sykes kuja Nansio kushiriki katika mazungumzo haya.